kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania China haitakiwi kulaumiwa kwa kusaidia nchi za Afrika kuwachunguza watu wake kupitia ushirikiano wa kidigitali

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni bara la Afrika limekuwa na maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na mambo ya kidigitali kwa ujumla, na sekta hii inatajwa kuwa ni moja ya sekta zenye maendeleo ya kasi zaidi katika nchi za Afrika, na kuwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kijana na dunia ya uchumi wa kidigitali, teknolojia na utandawazi

    1. UTANGULIZI; Habarini zenu wadau wote wa jamii forums, vijana wenzangu, waandaaji na wafuatiliaji wa jukwaa hili la “story of change”, Makala hii fupi ni kwa lengo la kuelimishana na kufundishana hasa vijana wenzangu Walioko katika jukwaa hili la jamii forums (story of...
  3. Mwenda zake

    JamiiForums Tanzania Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (ukoloni mamboleo)?

    JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kuipa Tanzania Tsh. Bilion 348.9 kusaidia mabadiliko ya kidigitali

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Benki ya Dunia inatarajia kutoa dola milioni 150 sawa na takribani Tsh. Bilioni 384.9. Fedha hizo zinatolewa kwa ajili ya kusaidia mabadiliko ya kidigitali nchini. Waziri amesema fedha hizo zitaboresha...
Back
Top Bottom