kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watahiniwa 63,583 wa Kidato cha 4 wamefeli kwa kupata Division 0

    Jumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri ya haraka ni kuwa zaidi ya wanafunzi 12,000 hawakufanya Mtihani wa kumaliza Kidato cha 4. Kiwango...
  2. B

    Matokeo ya kidato cha nne, shule zifuatazo zimenivutia

    WanaJF Kwanza nianze kwa kusema ya kuwa, nimefanikiwa kufika kwenye shule mbalimbali nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge. Shule hizo, nyingi nilizifikia mwaka wa masomo wa 2020 na 2021. Kiufupi, nilifikia shule kwa orodha ifuatayo. Wilaya ya Geita 1. Halmashauri ya wilaya ya Geita...
  3. TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
  4. Wanafunzi 12,536 hawakufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022

    Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa...
  5. Necta yatangaza matoke kidato cha nne 2022

    Necta yatangaza matoke kidato cha nne 2022
  6. Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

    Habari! Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote. Yote...
  7. W

    Na nyie NECTA toeni majibu ya kidato cha nne, ndugu zetu wamechoka kusubiri!

    Yatoeni bwana, watasubiri katika hali hii ya hofu hadi lini?!!!!!
  8. NIDA waje na mpango wa Vitambulisho Kidato cha nne

    Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa. Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
  9. Wanafunzi 716,664 Kidato cha Kwanza hawajaripoti shuleni hadi sasa

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Januari 15, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msingwa, wanafunzi 354,277 wakiwemo wenye ulemavu 697, ndiyo walioripoti hadi sasa kati ya wanafunzi 1,070,941 wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza sawa na asilimia 33 ya matarajio. Aidha amesema...
  10. Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza 2023 hawa hapa

    Wanafunzi 2,096 kati ya 2,194 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba, wamefaulu mtihani huo na kupangiwa shule za sekondari za serikali kuanza kidato cha kwanza. Wanafunzi hao 2,194 wakiwemo wavulana 1,117 na wasichana 1,077 walifanya mitihani yao Desemba 21 na 22, 2022 kwa sababu ya...
  11. F

    Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

    Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
  12. Wanafunzi 4 kati ya 88 waripoti Kidato cha Kwanza Geita

    Ikiwa wiki moja imepita tangu kuanza kwa msimu wa masomo mwaka 2023 Tanzania, wanafunzi wanne kati ya wanafunzi 88 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Izumachel iliyopo wilayani Geita mkoani hapo ndio walioripoti katika shule hiyo. Shule hiyo iliyoanza mwaka 2022...
  13. Wanafunzi 13,000 hawajaripoti kidato cha kwanza Songwe

    Zaidi ya wanafunzi 13,000 sawa na asilimia 63 wa kidato cha kwanza mkoani Songwe waliochaguliwa kuanza masomo Januari 9 mwaka huu, hawajaripoti shuleni hadi leo Ijumaa. Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amesema hayo leo wakati akitoa salamu za mkoa katika kikao kazi cha...
  14. Wanafunzi 4,224 pekee wachaguliwa Shule za Bweni Kidato cha Kwanza kati ya 50,475 wanaostahili

    Uchache wa Shule za Bweni nchini umesababisha Wanafunzi 46,251 kukosa nafasi ya kujiunga na Shule zenye huduma hiyo Nchini Idadi ya Shule za Serikali zinazochukua Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza mwaka 2023 ni 4,307 ambapo Shule za Kutwa ni 4269 na Bweni ni 38 zenye uwezo wa kupokea Wanafunzi...
  15. Jinsi viwango vya Ufaulu Kidato cha Pili vinavyozidi kushuka

    Idadi hiyo sawa na 14.72% ya waliofanya Mtihani Nov 2022, watalazimika kukariri Masomo ya Kidato cha 2 kutokana na kufanya vibaya kwenye Mtihani wa Upimaji na kupata Daraja 0 (#Division0) Pia, Wanafunzi 372,113 (58.74%) licha ya kufaulu, wamevuka Darasa kwa kupata kiwango cha chini ambacho ni...
  16. N

    Second selection yafutwa kwa kidato cha kwanza

    Rais Samia Suluhu anaendelea kuupiga mwingi sekta ya elimu alianzisha mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 8000 nchi nzima vyenye thamani ya Tsh Bilioni 160 sasa madarasa yamekamilika kwa asilimia 95 na kupelekea wanafunzi wote kuanza masomo kwa pamoja. Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na...
  17. Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023 yanatoka lini?

    Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023?? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
  18. Matokeo ya Necta kidato cha pili ya mwaka 2022 yanatoka lini?

    Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana...
  19. Kidato cha kwanza mwaka 2023 kuanza na upungufu wa madarasa 4,341

    Takriban wanafunzi milioni moja wanatarajia kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule za Serikali mwakani huku changamoto ikiwa ni upungufu wa vyumba vya madarasa. Takwimu za Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Baraza ka Mitihani Tanzania (Necta) zinaonyesha shule...
  20. Necta, Kidato Cha pili na nne tafadhali toeni halmashauri bora nchini 2022

    Nakumbushia tu. Hii inamaana kubwa Kwa taifa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…