Kichwa (Kichwa shimi, Runashimi, also Spanish Quichua) is a Quechuan language that includes all Quechua varieties of Ecuador and Colombia (Inga), as well as extensions into Peru. It has an estimated half million speakers.
The most widely spoken dialects are Chimborazo, Imbabura and Cañar Highland Quechua, with most of the speakers. Kichwa belongs to the Northern Quechua group of Quechua II, according to linguist Alfredo Torero.
Wakuu,
Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
facebook
freedom of expression
instagram
kichwa
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
mitandao
mtandao haupatikani
mtandao kuzimwa kwenye uchaguzi
mtandao kwenye uchaguzi
nayo
signal
telegram
tiktok
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
uhuru wa habari
uhuru wa maoni
whatsapp
youtube
Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
Maudhui yalikuwa bongo flava ila kila mmoja alikuja na style yake kupelekea wawe authentic na kitu walichotoa na sisi wapokeaji tulipata vitu quality ambavyo hadi hatutakaa kusahau.
WIMBO UNAUKUMBUKA SANA?
https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=-mI_dTpLqlR3WXvA...
Naangalia Al-Jazeera
Naona Kiongozi wa Waasi wa Hamas, Mohammed Sinwar ameliwa Kichwa na yeye ameshakutana na wale Mabikira 72
Ikumbukwe jana tu Msemaji wa Hamas naye amewahi kukutanishwa na wale Mabikira 72
Wakati hayo yakiendelea Waziri Mkuu wa Yemen anayeshirikiana na Houth, Kikundi cha...
Mwamba mambo yanambadilikia katika kiwango hawezi amini. Taarifa za uhakika kabisa amemkimbia Clayton Chiponda pale mwisho wa Reli. Hebu fikiria hilo anguko, yaani Ruyagwa anasepa kisa Baba Levo!
Ma CCM yamemla kichwa Mabula na kupeleka jina la Nzilanyingi kugombea Ubunge kwenye Jimbo hilo.
Japokuwa watu wanaimba kama kasuku, Uchaguzi haupo utadhani kuimba huko kutawazuia watu mjini na vijijini kwenda kupiga kura, lakini binafsi nimefurahi jamaa kuangukia pua
Siku ya Uchaguzi wa kura...
Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
Madaba, Songea – Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Mhe. Dkt. Joseph Kizito Mhagama, ameshindwa kutetea nafasi yake ya ubunge baada ya kushindwa katika mchuano wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika matokeo...
Wanachama wa CCM wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu ambao walikuwa watia nia ya udiwani kutoka Kata mbalimbali wamelalamikia kukatwa majina yao na kupuuzwa kwa maagizo ya CCM Taifa juu ya kurejeshwa kwa majina yao.
Jina lake limekatwa huko Bumbuli.
Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme
Pia soma
1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki
2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai...
Shalom shalom
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa...
Wakuu tuwachukulie Watu Hawa
Makamba na Mpina kama ndo Subjects wetu.
Siasa za Makamba, zilijikita kwenye Harakati za chini chini, hakua anamkosoa Rais Samia kwenye Vyombo vya habari, in fact Makamba alikua anamsifia sana Samia Kuna Ile speech yake ya 'Hilo tu Mh Rais inatosha kukufanya...
Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa.
"Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.