Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu.
Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza?
Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...
"Kalinka & Tobol" ni mifumo ya kivita ya kielektroniki (EW) ya Urusi ambayo hivi karibuni imepata umaarufu kwa madhumuni yake ya kugundua na kuvuruga mawasiliano ya satelaiti, hasa yale ya Starlink, wakati wa migogoro.
Kalinka: Mfumo huu ni wa kisasa zaidi na uliundwa mahsusi kukidhi mahitaji...
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli.
Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusi...
Kabla ya October 29, 2015 watawala haramu walikuwa na kauli za kuwadhalilisha wananchi wa nchi hii. Hadi vimkuu vya wilaya vilikuwa na majivuno na kauli za kuwakejeli wananchi. Mara ooh kama hujui kufa andamana, mara ooh inabidi uandae kabisa kaburi lako, mara hakuna cha nywinywinywi. Chalamila...
Mmeteka watu
Mnatesa na kulawiti Watanzania wenzenu
Mnaua Watanzania kupitia Wambura na magaidi wenzake
Mmechezea sheria inayounda Usalama wa Taifa na kuifanya taasisi inayodhibiti wananchi badala ya jukumu lake la kisheria na kikatiba
Mmeunda Tume haramu ya uchaguzi
Mmeharibu mfumohaki wote...
Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan.
Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania.
Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo.
Bila kumsahau Rais wetu...
Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso.
Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
Katika hali inayoendelea kuitia dola aibu, Leo mahakamani Askari Magereza amemsukuma ndugu Lissu na kumsababishia sintofahamu kubwa.
Lissu ambaye ni kiongozi wa Umma, ambaye anastahili heshima katika jamii, inashangaza dola inamfanyia kitendo hiki. Dila isiyoheshimu viongozi wa umma hii ni dola...
Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!!
Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani kutajwa. Hakuna Covid-19, hakuna CHADEMA, hakuna ACT Wazalendo hakuna chochote...
Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD.
Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h.
RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp...
Hizi chuma zimeanza kujaa jaa mjini, hafu sio poa zinafaa kwa kila matumizi aisee.
Muonekano wake umekaa vema. Sio nje sio ndani.
Ford Ranger, Ford Ranger Raptor, Ford Ranger Wildtrak ni dream truck.
Haikuwa rahisi. Hatimaye tumeingia Fainali Kombe la Muungano. Match ilikuwa ngumu na kuamuliwa kwa penalty. Tunaenda kuwekeza nguvu kwenye kulibeba kombe wallah...
Mabingwa wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Argentina, leo alfajiri imefuzu mashindano ya kombe la dunia ya mwakani kwa kuibamiza Brazil mabao 4-1. Mashindano hayo ya mwakani yatapigwa kwenye nchi tatu za Marekani, Canada na Mexico.
Baada ya ushindi wake huo, Argentina amefikisha alama 31...
Ndugu zangu Watanzania,
Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.