kiatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia na dhana ya "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

    Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo. Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiatu kilinikimbiza?

    Habari wadau wa jukwaa hili Bila shaka mko salama Miaka 20 iliopita pale Tanga wilaya ya mkinga zamani Muheza Kata ya Maramba kijiji Cha Maramba kitongoji Cha msumbiji Ilikua muda wa saa Saba usiku nikiwa natoka kuangalia mkanda wa video enzi hizo Tulikua wengi lkn kadri tunavyokwenda ndo...
  3. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia

    Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote atakuwa nawe. Asili ni nguvu💪
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kumpiga kwa kiatu Rais ni busara au ushujaa kama siyo jinai?

    Alipotupiwa kiatu, George Bush alicheka tu japo dent was done. Je kwanini watu wanafikia hatua hii? Je, wahusika wanajifunza nini? Je nini kifanyike? Je, kwanini watawala wanajiachia na kujisahau? Ungekuwa wewe uliyetupa kiatu, ungejiteteaje? Je, tunajifunza nini kama watanzania? Kwanini...
  5. JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua... Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua...
  6. JamiiForums Tanzania Kila miongo CCM kiatu kinaongezeka namba

    Tunapoelekea kama tutabaki nao milele na milele kuna siku tutaacha kuwa na kiatu na kuanza na nguo sasa.
  7. JamiiForums Tanzania Kiatu cha Mbowe ni kikubwa kwa Lissu? "No refom, No election" fupa gumu kwa Lissu, aanza kujitoa na kusema liliamuliwa na uongozi uliopita wa chadema

    Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election". Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdada kaniomba nimunulie Kiatu, bei yake laki na nusu! Bora ninnue ndama

    Wakuu habari. Jana kwenye jukwaa la Love niliandika Uzi wa kutafuta mwanamke!. Nikifanikiwa kupata DM za wanawake 2 tu mmoja Yuko Mwanza mwingne Mwanza. Kwasababu Niko Kanda ya ziwa huyu wa Mwanza nikaona atanifaa. Basi bhana Leo mchana Fulani nimejibeba Hadi nikaenda kuonana na huyo Bidada...
  10. JamiiForums Tanzania Wadau wa Mitindo: Umevaa Kiatu gani Leo?

    Wanajukwaa la Mitindo. Kiatu kikali kinabadirisha muonekano wako kabisa. Sasa kwakua kila mtu ana fleva yake ya kiatu, unaweza share ulichovaa leo wengine tukaona labda tunaweza pata idea mpya ya viatu. Ikiwa siku ya kazi, unavaa casual or una meeting na maboss unavaeje? Au mwamba wa site...
  11. JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

    Mtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu? Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa 😳😳
  12. JamiiForums Tanzania Kiatu usipovaa na soksi lazima kinuke

    Basi tu fashion ya baadhi ya viatu inakufanya usivae soksi ila ukweli usemwe viatu bila soksi Sawa na suruali bila chupi.. Ukivivua lazima tu viteme na pia sio salama unaweza Kupata fangasi miguuni.wengi naona hata siku hizi wanaovaa sendo wanaovaa na soksi.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ni utani tu ndugu zangu hicho kiatu pichani apewe mchezaji yupi hasa!

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko! Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa? Karibuni tujadili utani!
  14. JamiiForums Tanzania Azam inataka Simba iwe ya pili huku Simba ikitaka Feitoto achukue kiatu cha ufungaji. Unafikiri nini kitafuata?

    Mpira ni anasa kweli kweliii. Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki. Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
  15. JamiiForums Tanzania Gamond na Benchi lako la ufundi mnapaswa kutambua kuwa mashabiki tutafurahi zaidi endapo Azizi ki atachukua kiatu cha ufungaji bora

    Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu Wana Yanga SC. Akichukua yule mtoto maneno yatakua mengi sana haswa wachambuzi was mchongo na baba...
  16. JamiiForums Tanzania Nani kuondoka na kiatu cha ufungaji bora NBCPL;Aziz KI au Feisal

    Wachezaji hao ndio vinara wa magoli kwenye NBC Premier League ambapo mpaka sasa wamefunga magoli 15 kila mmoja na hadi sasa timu zote zimesaliwa na michezo 3 pekee kutamatika kwa ligi kuu msimu huu Msimu uliopita hadi ligi inatamatika wachezaji wawili wa Yanga na Simba ambapo ni Fistoni Mayele...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kilichobaki Yanga ni kuhamishia nguvu zote FA, Kina Skudu, Fredy, Mkude wamalizie mechi za ligi kuu na Aziz Ki asaidiwe kudunga abebe kiatu

    Yanga wanahitaji point 1 tu kuwa mabingwa, hawana haja ya kukamia wala presha, Kesho kuna uwezekano mkubwa wakatangazwa mabingwa. Nguvu zote zihamishiwe F,A. ikibidi kina Max, Aucho, Diarra, Yao, n.k. wawahi Arusha kujiandaa na nusu fainali ya FA dhidi ya Ihefu Kwa sasa kuhusu ligi kuu yafaa...
  18. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kiatu hiki?

    Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam.
  19. JamiiForums Tanzania Bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara huwezi kutoboa

    Karibu Afrika. Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu. Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema. Traffic wakipiga tochi wanaona gari...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Magoli ya penalty kumnyima saido kiatu

    Mfungaji Bora wa Ligi ya TAnzania ni fiston mayele, akimpiku Mzee saido aka mstaafu aka mzee wa magoli ya viti maalumu yaani penalty. Makolo kilio kimezidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…