kiapo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Tesha: Amekataa mauaji na utekaji amesimama na watanzania kulingana na kiapo chake ni jeshi la kuigwa

    Yoyote anayepinga uharamu na ushenzi na anaye simama na watanzania ndio mtu mwenye mchango chanya kwenye taifa. Tutapata wapi mtu mwengine kama huyu tukivuka hapa anastahili kuongoza JWTZ kama mkuu wa majeshi. esha
  2. Ritz

    Wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ

    Wanaukumbi. Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ.. Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁 Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya...
  3. Kazanazo

    Kiapo: Kuanzia leo nimeacha uzinzi

    Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena
  4. Fukua

    PostGE2025 Kiapo changu Kwa nchi yangu ya Tanganyika

    Mimi fukua wa jf nianaapa kwamba, nitaipenda,kuipigania na kuitumikia nchi yangu ya Tanzania Kwa moyo wangu wote. Kwamba, ninaikataa CCM na serikali yake yote, ninamkataa Samia na mambo yake yote,bunge, mahakama, TISS, polisi na vyombo vyote vya Dola hii haramu Kwamba...
  5. President of China

    Picha: Mawaziri wapya wakiwa wanakula kiapo - Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa hii hapa (Watanzania wa kweli wanaipenda)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
  6. R

    Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  7. R

    PostGE2025 Deus Kibamba: Tusimlaghai Rais. Huwezi kujichunguza mwenyewe. Hapa tulipofika tusijichunguze, tuchunguzwe

    Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
  8. Ojuolegbha

    PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  9. Its Tesha

    Kiapo cha familia ya Rais Samia kitakavyokuwa hapo baadaye ikulu ya Chamwino Dodoma

    Taswira ya kiapo cha baadhi ya mawaziri wa familia moja kitakavyokuwa jijini Dodoma.
  10. R

    PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

    Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. R

    PostGE2025 Mbunge mteule Viti Maalum, Mwanaenzi Hassan Suluhu ala kiapo bungeni tayari kulitumikia Taifa

    Mbunge Mteule wa Viti Maalum Zanzibar Mwanaenzi Hassan Suluhu, leo Novemba 12, 2025 katika Bunge la 13 Mkutano wa kwanza kikao cha pili Jijini Dodoma, amekula kiapo kulitumia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kikamilifu
  12. R

    Diamond ahudhuria bunge kushuhudia Baba Levo akila kiapo

    Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11. 2025 amekula kiapo rasmi kuanza kuwatumikia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Msanii Diamond Platnumz alihudhuria mkutano huo...
  13. R

    Video: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu ala kiapo bungeni

    Mbunge wa Jimbo laTunduru kaskazini akila kiapo Bungeni wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu wa Bunge leo Novemba 11, 2025. Ikumbukwe Ado Shaibu ni miongoni mwa wabunge wachache wa upinzani kutoka ACT-Wazalendo walioshinda katika kinyanganyiro batili cha...
  14. W

    GE2025 Bashe amlisha kiapo Mwaifunga jukwaani, amuahidi kiwanda cha tumbaku Tabora

    Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Septemba 19,2025 akiwa katika mkutano wa Kampeni kata ya Gongoni Jimbo la Tabora mjini amemlisha kiapo cha kuwatumikia Wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Hawa Mwaifunga mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano...
  15. R

    GE2025 Ado Shaibu ala kiapo kuwatetea Wakulima Tunduru

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu ameahidi , akipewa ridhaa na wananchi atapigania masilahi ya wakulima kwa kuhakikisha wanapata pembejeo za kilimo kwa wakati na bei nzuri za mazao yao Akihutubia katika uzinduzi wa...
  16. T

    Mzee Kikwete kwenye hili umekosea kiapo chako na historia itahukumu

    Mzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu. Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Wewe ndie rais pekee unaye pokea taarifa za siri kama mstaafu. Unajuwa shida ya...
  17. Kimbesa11

    GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Watibeli tunaapa kwa Mungu pekee na haki; hatunaga kiapo kingine. Ukifuata Haki tutakulinda na kukutetea.

    Habari za Ijumaa! Moja ya vitu vinavyotutofautisha Watibeli na watu wengine ni pamoja na hili. Sisi hatunaga cha mzazi. Hatunaga cha Mke/mume Hakunaga cha Mtoto Hatunaga cha Sijui Boss, sijui Mkurugenzi. Hatunaga cha sijui Rais, sijui Rais, sijui Waziri. Hatunaga cha Sijui kamanda wa jeshi...
  19. Lord Denning

    PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

    Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho. Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
  20. Khanji kapoor

    Kwanni Trump ameenda Ufaransa wakati hajala kiapo?

    Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti? Wajuzi mniambie kwann anavunja sheria?
Back
Top Bottom