kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Exclusive documentary!... TUNDU LISSSU shujaa. Karibu tena Uraiani baada ya takribani miezi 10 gerezani kwa kesi ya uongo wa kubumba..!

    https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_ HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida... Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
  2. JamiiForums Tanzania Suala la mamlaka haramu kuitumia kampuni ya airtel kufungia namba za watu tunalichukulia kama mwendelezo wa kujiongezea kesi za kujibu

    Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii baadae. Washauri wa samia ni akina kingwendu kila kitu ni sifuri wanachochea moto zaidi tunaongozwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali itumie njia hii kuwakamata hawa wahuni

    Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend. Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi . Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu. Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania. Hii fedha...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kesi ya ICC na nyinginezo tu dhidi ya Samia na wenzake zitakazolibadilisha kiukweli Taifa letu na mifumo yake yote

    Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa kwenye Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa pale ndipo Serikali ya Tanzania itaanza kuongozwa kwa akili na sio ujinga na upumbavu wa ki ccm. Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Wafichuka Kesi ya Shakahola, Mshitakiwa Akiri Mauaji ya Watu 191, Wengi Wakiwa Watoto

    Katika kesi ya mauaji ya Shakahola nchini Kenya, Enos Amanya maarufu kama “Hallelujah” ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji 191 mbele ya Mahakama Kuu ya Mombasa. Amanya, mmoja wa washitakiwa 29, alisema alishiriki katika mauaji na mazishi ya waathiriwa kati ya Januari 2021 na Septemba...
  7. JamiiForums Tanzania LHRC yafungua kesi ya kikatiba kupinga adhabu ya viboko shuleni kufuatia kifo cha mwanafunzi Simiyu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni. Kesi hii imewasilishwa kwa niaba ya Samwel Maduhu Mangu, mlezi wa marehemu Mhoja Wilson Maduhu...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  9. JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Rais aliongea kwa uchungu sana watu kubambikiwa kesi

    Peter Madeleka, amekosoa utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na jeshi la polisi, akidai kuwa mchakato wa utoaji haki nchini umejaa migongano ya kisheria na matukio yanayovunja utu wa binadamu. Soma: PostGE2025 - Rais Samia: Huko Mahabusu kuna watu hawana hatia, wanafungwa kwa kesi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo namna nzuri ya kutoa Haki katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Wachina

    Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo Kesi ya Uhujumu Uchumi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kinachofanya ndugu Tundu Lissu mpaka sasa awe mahabusu na kesi inashindwa kuendelea?

    Binafsi kwa mawazo yangu naona ni ubabe wa watawala kwamba utafanya nini, ndani tunakuweka na kesi haisikilizwi mpaka tutakapoamua wenyewe. Hii dhambi kiukweli itakuja kuwatafuna sana. Madaraka yasi ondoe roho ya utu. Mheshimiwa Tundu Lisu kuna watu wengi sana wapo nyuma yake wanamtegemea...
  15. S

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yafafanua kesi dhidi yake, yadai kuna Upotoshaji

    Mwanasheria Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Hassan Athuman, amesema kuna upotoshaji mkubwa unaoendelea kuhusu tafsiri ya hukumu ya Mahakama Kuu ya Tanzania iliyotolewa Desemba 24, 2025, akisisitiza kuwa mahakama haikuitupilia mbali BAKWATA wala kuikuta imekiuka Katiba...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini likitokea tukio ambalo serikali imefanya CCTV za jirani zinachukuliwa kwa nguvu na wewe unaunganishwa kwenye kesi

    Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji. Kwa sasa kabla ya kwenda kuteka watu wanachunguza nyumba za majirani kama zina CCTV na wakijua na wewe unakuwa mmoja wa kesi zao.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Waliojiweka madarakani bado wana kiburi. Kwanini wameendelea kuteka, kumficha Polepole na kesi ya Lissu imewekwa kapuni?

    Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi. Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe kupiga kelele, Mwambe angekuwa kama Polepole. Sote tunajua Polepole ameshiliwa na hawa hawa maharamu...
  19. JamiiForums Tanzania ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue

    ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sigrada: Watu wanakufa kwa mawazo, kesi haziishi mahakamani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA) Sigrada Mligo ametoa wito kwa Serikali kuongeza watendaji wa Mahakama akiwemo Hakimu wa Mahakama ya ardhi, ili kupunguza vifo vya Wananchi kwa kukosa haki kutokana na kesi zao kukaa muda mrefu Mahakamani. Sigrada ameeleza hayo jana, Desemba 11...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…