kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu: File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani?

    File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani kufanyiwa kazi linapofika katika ofisi za DPP (Sasa ziko Dodoma). Maana upelelezi unachukua mwaka mmoja vipi huko mbele je! Ningependa kufahamu kwa watu mliokaribu na ofisi husika au wajuzi wa fani hiyo. Asante
  2. JamiiForums Tanzania Walinzi nane na wengine 12 wafikishwa Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu Uchumi

    WALINZI nane wa Kampuni ya Ulinzi ya Security Group ya Afrika (SGA) Tanzania Ltd na wenzao 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matatu likiwemo shtaka la wizi na utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh bilioni mbili mali ya NMB...
  3. JamiiForums Tanzania Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

    Sasa wale ma slay queen itakuaje jamen ?, nawaonea huruma akina huddah, tontoh dikeh, bobrisky, vera sidika and the rest, wamekula sana ma millions ya huyu jamaa in Dubai . Ila tuseme tu ukweli wanaijeria wanajua ku hustle bhana, embu imagine wamefanikiwa kuiba more than $100 millions , their...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sirisia John Waluke ahukumiwa kuhudumu kifungo cha miaka 67 gerezani au faini ya KES 1Billion kwenye kesi ya ufisadi dhidi yake

    Siku ya 40 ya mwizi hatimaye ilitimia kwa Mbunge wa Sirisia John Waluke na mshukiwa mwenza Grace Wakhungu, kwenye kesi ya ufisadi dhidi yao ndani ya mahakama ya ufisadi(Anti-Corruption Court) jijini Nairobi hivi majuzi. Hii ni baada ya Chief Magistrate Elizabeth Juma kuwapata na hatia, wao na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Mtikila kufungua kesi ya Mgombea Binafsi, Tundu Lissu kufungua kesi kuhoji ni kwanini matokeo ya Urais hayapingwi Mahakamani!

    Tayari mpango mzuri na wenye maana kubwa sana katika Taifa letu unaendelea kuandaliwa. Uchaguzi wa Mwaka 2020 utakapokamilika tu na iwapo CCM watakuwa wameshinda kuna kesi itafunguliwa kwa umakini wa hali ya juu kuhusu kwa nini matokeo ya Urais hayapingwi Mahakamani. Kinachozuiwa nchini mwetu...
  6. JamiiForums Tanzania Ernie Chambers mwanasiasa aliyefungua kesi mahakamani kumshtaki Mwenyezi Mungu

    Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala Jimbo Hilo kwa muda mrefu Sana. Kwa kile alichokitambua na kukiamini katika sheria Ni kuwa kila mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi dhidi ya kupinga ubunge wa Mwambe yatupiliwa mbali kwa mara ya pili

    Shauri la Kikatiba Na.12 la mwaka 2020 lililofunguliwa na Asasi ya Civic and Legal Aid Organization dhidi ya Mhe. Spika, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Cecil Mwambe ili kupinga ubunge wa Mwmbe imetupiliwa mbali Leo tarehe 15 Juni,2020 na Mahakama Kuu. Hii ni mara ya pili ambapo Mahakama Kuu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

    Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo. Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
  9. JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  10. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna majaji wenye Intellect ya ku-handle kesi za Kikatiba

    Nilisema hakuna jaji wa ku-handle kesi ya Spika et al. Hakuna mwenye intellect wa ku-handle kesi kama hiyo! Kulita alikuwa juzi Magistrate courts anatoa hukumu za hovyo, leo unampa kesi inayohitaji high power mental reasoning faculties, hawezi hata kidogo! Angalia wenzao Kenya, level of...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi dhidi ya Spika Job Ndugai na Cecil Mwambe kutajwa kesho. Ni ile ya kuomba tafsiri ya Mahakama baada ya Mwambe kurudishwa Bungeni

    Kesi iliyofunguliwa na shirika la Civic and Legal Aid Organization (CILAO) kuomba tafsiri ya Mahakama Kuu kufuatia kitendo cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumrejesha Bungeni Ndg. Cecil Mwambe itatajwa kesho tarehe 03 Juni 2020 sa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Maige, Jaji...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?

    Ukiniuliza swali hili; Je, ungependa Tundu A. M. Lissu awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA katika uchaguzi mkuu wa 2020? Hakika jibu langu haraka haraka na pasipo kupepesa macho huku nikitabasamu, ningekujibu tu....YES, HUYU NDIYE...!! Huyu ndiye si kwa sababu kina Zitto Z.R. Kabwe...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

    Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai na Mwambe wapewa wito wa Mahakama, kesi kuanza Juni 3

    Kesi namba 12/2020 inayomkabili Spika wa Bunge, Job Ndugai imepangwa kuanza kusikilizwa Katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es salaam mnamo Juni 3 mwaka huu kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa Saba. Kesi hiyo ambayo imefunguliwa na Taasisi ya Haki za Kiraia na msaada wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
  18. JamiiForums Tanzania Jaji aondolewa katika Kesi ya ' Ubakaji ' baada ya Kumuuliza ' Mbakwaji ' kama alisikia Utamu Kunoga na Kubana Miguu yake wakati akiingiliwa!

    Katika Kuonyesha kuwa Mahakama za Wenzetu hasa huko Marekani ( Mamtoni ) na Ulaya ( Majuu ) kuwa linapokuja Suala la Maadili kwa Watendaji wake pindi wawapo Kazini hawana Mzaha ( Masihara ) kabisa ni kwamba Jaji Mmoja aliyekuwa akisikiliza Kesi ya ' Ubakaji ' kwa Mwanamke Mmoja amejikuta...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu mupe huyu munyime: Kesi ya Kangi Lugola imefikia wapi, mbona bado anadunda mitaani?

    Huu upendeleo unaoendelea nchini si mzuri unakusanya hasira ndani yetu mdogo mdogo. Huyu upelelezi ulishakamilika kwa mujibu wa Takukuru ila kwanini bado anadunda mtaani huku wengine wanasota rumande japo upelelezi haujakamilika.
  20. JamiiForums Tanzania WHO na kesi dhidi ya mila za Rwanda za kuongeza Kisimi

    VITA YA ‘WHO’ DHIDI YA RWANDA NA TAMADUNI YAO YA KUKUZA VISIMI KWA WANAWAKE. Nchini Rwanda na Burundi na baadhi ya nchi kama Zimbabwe, kuna mila ya wanawake au wasichana kuchua visimi (Labia minora) kwa mtindo wa kikuvuta mbele ili kiwe kirefu. Mila hii ni maarufu na kubwa sana nchi Rwanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…