kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya waliokuwa vigogo NIC yakwama mara ya pili mfululizo

    Kesi ya kuchepusha fedha na kulisabishia hasara Shirika la Bima la Taifa (NIC) ya Sh 1.8 bilioni, inayowakabili washtakiwa saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Sam Kamanga, imeshindwa kuendelea mahakamani. Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 18/2023 imeshindwa kuendelea leo...
  2. JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 3 Jela kwa kughushi nyaraka ili akawe 'House Girl' Dubai

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Hawa Mwangu (31), kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh200,000 baada ya kukutwa na hatia ya kutoa taarifa za uongo katika ofisi ya Uhamiaji kwa lengo la kupata hati ya kusafiria kwenda Dubai kufanya kazi za ndani. Mahakama hiyo pia, imetoa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita

    Kesi hiyo ya kikatiba imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea, Humphrey S. Malenga katika Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia amuongeze muda Prof. Ibrahim Juma Profesa Juma, ambaye alizaliwa Juni 15, 1958, amekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tangu Septemba 10...
  5. JamiiForums Tanzania Microsoft na OpenAI zafunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 7.24 kwa kuiba Taarifa Binafsi za Watu Mtandaoni

    Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika mfumo wake wa AI. Katika hati ya Mashtaka yenye kurasa 160, OpenAI na Microsoft zimeshtakiwa kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama mahakama za Tanzania hazitoi haki, Watanzania nao wasikubali kesi zao kuamuliwa na Mahakama hizo?

    Viongozi wa juu wa serikali kama ni kweli wajua kwamba "mahakama hazitendi haki" mpaka wakazikwepa ktk mikataba. Sasa hizi mahakama zetu kwanini ziendelee kuwepo na zikiendeshwa kwa gharama kubwa na zikiwa zinaumiza watanzania kwa kutowapatia haki zao? Ama ina maana watanzania siyo...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mauaji ya dada wa Bil. Msuya:Mkaguzi Mahita aeleza mbinu aliyotumia kumkamata mshtakiwa

    Dar es Salaam. Mkaguzi wa Polisi, Mahita Omari Mahita ameieleza Mahakama kuwa walifanikiwa kumtia mbaroni mshtakiwa wa pili, Revocatus Everist Muyella katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya, baada ya askari mmoja kumuomba lifti amkampeleka hadi kituo cha polisi. Mahita alieleza mbinu hiyo jana...
  8. JamiiForums Tanzania Simiyu: Utata kesi Askari Polisi aliyetuhumiwa kumjeruhi mtoto wake kisha kesi kufutwa

    Miezi mitano tangu kutokea kwa tukio la Askari Polisi, Abati Benedicto kumjeruhi mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 na kesi kufikishwa mahamani, kesi hiyo imefutwa kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosekana kwa mashahidi wa kuthibitisha tuhuma zilizomkabili askari huyo aliyekua akifanya kazi kituo cha...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Shahidi alivyotoa majibu ya kufikirisha kesi ya mjane wa Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara (RPC), George Katabazi ni miongoni mwa mashahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu na tajiri wa madini Mirerani, mkoani Arusha, Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya. Leo Jumatatu...
  10. O

    JamiiForums Tanzania RPC, Wakili Kibatala walivyochuana kesi mjane wa Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Wakili wa utetezi, Peter Kibatala katika kesi ya mauaji ya Aneth aliyekuwa dada wa mfanyabiashara wa madini Mirerani mkoani Manyara, marehemu Erasto Msuya (Bilionea Msuya), amechuana vikali na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Mchomvu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Babati: Gurtu Sirro ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuuza meno ya tembo

    Hukumu hiyo ilitolewa na hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Victor Kimario. Kimario, akisoma hukumu hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka 2023, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 17 katika Kijiji cha Matufa, wilayani Babati. Alisema mshtakiwa alikutwa amebeba meno matatu ya tembo...
  12. JamiiForums Tanzania Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

    Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa. Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba. Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi yafikisha siku 660 bila upelelezi kukamilika

    Upelelezi katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi na Mratibu wa Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP) Edward Haule, bado haujakamilika. Mwakabibi na Haule, wanakabiliwa na mashtaka mawili ya matumizi mabaya ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  15. JamiiForums Tanzania Mpelelezi wa kesi ya Thabo Bester “Mbakaji wa Facebook" akutwa amefariki

    Jeshi la Polisi la Afrika Kusini limethibitisha kutokea kifo cha mpelelezi huyo mkongwe anayefuatilia kesi ya Thabo Bester anayetuhumiwa kwa mauaji na ubakaji akijulikana kwa jina la “Mbakaji wa #Facebook" Muda mfupi kabla ya kufikwa n amauti, Brigedia Jackson Mkhaulesi (59) alihudhuria...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye mkataba wa kuuza bandari hakuna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

    Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
  17. JamiiForums Tanzania Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

    Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'ata shuka huko huko jela (safari hii ataondoka kweli)
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi Dhidi ya Tanzania

    Wengi wetu tunafahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii, hasara na uduni wa maendeleo, vinasababishwa na viongozi wa Serikali. Iwe ni matumizi mabaya ya pesa ya umma, inasababishwa na maamuzi mabaya ya viongozi. Iwe ni ubadhirifu wa pesa ya umma, kwa kiasi kikubwa unafanywa na viongozi na...
  19. JamiiForums Tanzania Wahasibu wasiwe wanahusishwa kesi za wizi wa manunuzi, upigaji huwa unafanywa na maafisa manunuzi, wahasibu huwa wanatoa pesa tu na hawana kosa.

    Afisa manunuzi anaenda kwa muhasibu kuomba kupewa Bilioni 2 amlipe mkandarasi tenda ya ujenzi, hio kazi ya kwenye tenda ni wazi kabisa kiuhalisia haivuki hata milioni 200 lakini muhasibu akijaribu kufungua mdomo ataambiwa afanye kazi yake hayo mambo ya manunuzi hayamhusu, hapo muhasibu anaingia...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

    Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS). Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga. "Shauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…