Nimeshitushwa sana na habari hii,, mtu wa ndani akinieleza kwamba kulikuwa tayari na mpango wa kumtafutia Lissu kosa la kesi ya uhaini, kabla hata hajayatamka maneno ambayo ndio wamemfungulia mashataka.
Anasema, "suala hili lilipangwa baada ya mkakati wa kumsaidia Mbowe kushinda tena uenyekiti...
Mtazameni na msikilizeni huyu kada wa CCM kisha tia neno unapata ujumbe gani kupitia kwake kuhusu kesi ya Tundu Lissu....
Anamtaka Mwenyekiti wake taifa - CCM, Bi Samia Suluhu Hassan kumwachia Tundu Lissu kwa sbb eti "..inatia doa uongozi wake bora..!!"
Kwa wajuvi wa mambo ya propaganda za...
Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka zinavyofanya kazi zao.
Tume ilianzishwa kutokana na malalamiko ya wananchi ya kila siku kuhusu idara hizo...
Salaam!
Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria,
Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa
Akizungumza mbele ya Mahakama katika kesi hiyo inayoendelea kwa njia ya mtandao Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya...
Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari.
https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1
Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli...
Sasa tunaingia kwenye kesi ya pili ya Uhaini
Hakimu anaingia ile sauti ya askari courtttttttttt inasikika
Watu wote wanasimama, Hakimu anaketi then kila mtu anaketi.
Anasimama Karani wa Mahakama anasoma kesi namba PI no. 8607/2025 Rvs Tundu Lissu
Hakimu wa kesi hii anaitwa Mh. Kiswaga...
Jopo la Mawakili 31 wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti huyo.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza...
Nitakupa Update zote Kutoka Viunga vya mahakama Hapa Kisutu Kaa Karibu na Uzi huu...
--------------------------------
Kesi imeanza kusikilizwa Mbele ya Mh. Hakimu Mhini
Mawakili wa utetezi wamefika lakini waserikali na mtuhumiwa watakuwa kwa njia ya mtandao.
Muda huu anaonekana kwenye screen...
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.
Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.
Bali...
John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
Wakuu!
Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, leo tarehe 23 Aprili 2025 anazungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
https://www.youtube.com/live/uw_9B8sK8n8?si=O332MRt1WyWCHk4D
"Jambo la...
Wakuu,
Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24.
Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total social autopsy is needed.
-----------------------------
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji...
Katika miaka 24 ya Mwalimu Nyerere kulikuwa na kesi 3 za uhaini.
Maasi ya 1964, kesi ya Mataka, Chipaka, na Bibi Titi, na mwisho kesi ya Hatty McGhee, Eugene Maganga, na wenzao.
Lakini tukumbuke kwamba wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa hakuna fursa ya mfumo wa vyama vingi.
Katika miaka ya...
Dr. Wilbroad Peter Slaa anasema, amepata taarifa za ndani kabisa kutoka kwenye credible sources serikalini kuwa..
1. Huko CCM na ndani ya "deep state" hakukaliki, viti vinawaka moto...
2. Wamegawanyika na kulaumiana wao kwa wao ndani ya CCM na Serikali kwa kutekeleza ukamataji huo wa hovyo...
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
https://www.jamiiforums.com/threads/mabalozi-wa-marekani-na-jumuiya-ya-ulaya-waliopo-tanzania-watahudhuria-kesi-ya-uhaini-inayomkabili-tundu-lissu.2329878/
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka...
Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini.
I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party cannot go without her knowledge and consent!
Aikande Hichilema alifanyiwa haya haya, mahakama Kuu...
Kwa kutumia uwezo wa uwasilishaji wa hali ya juu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amejikuta akifanikiwa kuteka hisia za wananchi pale anapozungumzia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu huku akitumia maneno "Wanataka kumnyonga Lissu, Wanataka kumuua Lissu".
Maneno hayo yanasababisha wananchi...