Kesho baada ya Tundu Lissu kuhitimisha rejoinder ya hoja za upande wa Jamhuri kupinga mapingamizi yake, itathibitika pasipo shaka yoyote kuwa, kulikuwa na conspiracy to distract justice of the accused kulikofanywa na hakimu wa mahakama ya ukabidhi (committal court) ya Kisutu ndugu Franco Kiswaga...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chma cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa, Tundu Lissu, imepangwa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Septemba 8, 2025 katika hatua ya kusoma hoja za awali.
Taarifa hiyo, iliyotolewa na Wakili Gaston Shundo Garubindi...
"....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo...
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya...
Wakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya...
Watawala wakiwa kwenye viti wanaamini nchi ni mali yao hawajui kuna kesho wako busy kuwapa kesi watu za uongo kulinda madaraka kama watakaa nayo milele , kinga wanazofikria kuwalinda wakumbuke kuwa huwa zinafutwa.
Kesi kama ya Tundu Lissu inatia kinyaa haifai hata kusikilizwa kwasababu nikesi...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo Agosti 18, 2025 ambapo Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga anatarajia kutoa amri kuhusu ombi na pingamizi la urushaji wa moja kwa moja wa mwenendo wa...
Mioyo ya watanzania imeanza kuamka sasa, hawafuatilii tena vitu visivyo na mbele wala nyuma
Giza limeanza kuondoka, matongotongo machoni mwa watanzania hayakaliki tena, hadi saluni siku hizi wadada hawapigi tena umbea bali wanakaa na kumtazama jamaa aliebeba tumaini lao
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwa Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo iliyofunguliwa na Jamuhuri dhidi ya Lissu
Fuatilia LIVE - GE2025 - Kesi ya uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu inaunguruma Kisutu...
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida
Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
Na Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza
SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu ! Tumepigwa Wote.
Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua na umma...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
Tundu Lissu referenced "star chamber courts" during his treason trial proceedings to criticize the lack of transparency and due process in his case.
Star chamber courts were established under King Henry VII of United Kingdom in 1487. Under Charles I (1625–1649), it became a tool to suppress...
https://youtu.be/HVArMzRPSyk?si=278C6pGBZ2Dk0qwq
➡Leo Tundu Lissu kampiga za uso kweli kweli hakimu Kiswaga na kumwambia waziwazi kuwa yeye ndiye anayeruhusu utaratibu na mchakato wa uendeshaji kesi mahakamani (court process) kufanyiwa ufisadi (abused) na Public prosecutors..
➡Kamwambia hakimu...
Kesi ya rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Joseph Kabila inafunguliwa leo mjini Kinshasa katika mahakama moja ya kijeshi mjini humo. Kabila anakabiliwa na kosa la uhaini, mauaji na mateso yanayofungamanishwa na kundi la waasi analodaiwa kuliunga mkono la M23
Soma pia:
DR...
https://youtu.be/QluC2lIyj9k?si=oubNv3EMJB1I7xo6
Hivi ndivyo unavyoweza kusema kuwa, sijawahi kuona wakati wowote kuwa, kesi ya uhaini wa Tundu Lissu, sasa yageuka kuwa biashara nono mitaani kwa wafanyabiashara wa kuonesha mipira kwenye vibanda umiza...
Wananchi wasio na TV au bando kwenye simu...
Wakuu!
Mwenyekiti CHADEMA Taifa Tundu Lissu kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe.
Je, leo mwamba anaachiwa au atarudishwa tena 'kukamilisha na kumalizia...