kesi ya tundu lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
  2. McLaren

    PostGE2025 Lissu kwa Shahidi (P9): Sijamalizana na wewe. Nataka ukitoka hapa ukawaeleze Mapolisi kwamba kule (Kizimbani) hakufai!

    Haya ndugu zangu Lissu anaendelea kupitisha dozi huko. Hii statement alivyoitoa mahakamani kila mtu alicheka Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi...
  3. McLaren

    Kesi ya Tundu Lissu: Wachache wahudhuria mahakamani kwa sababu ya mvua, Kesi yaahirishwa baada ya Jamhuri kuwa na shahidi mmoja

    Wakuu, Tundu akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam ambapo leo kesi ya uhaini inayomkabili itaendelea Dada wa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili mdogo ake...
  4. Roving Journalist

    Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri wasiopungua watatu wangojewa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Februari 17, 2026, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Leo kesi hiyo itaendelea kusikilizwa mfululizo katika hatua ya ushahidi, ambapo tayari mashahidi wanane wa Jamhuri wameshatoa...
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  6. Agent-47

    Mdau anauliza, Kwanini mahakama imefuta video za kesi ya Tundu Lissu zilizokuwa zikirushwa live kwenye Channel ya mahakama?

    Mwenye Kuwa na ufahamu wa Kwanini videos zimefutwa.
  7. Waufukweni

    GE2025 CHADEMA: Wananchi 16 wajeruhiwa kwa vipigo vya Polisi wakifuatilia kesi ya Tundu Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Wanachama wake kadhaa leo wamepigwa na Polisi wakati walipofika Mahakama kuu asubuhi ili kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
  8. Waufukweni

    GE2025 Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wafanya maombi Mahakamani kabla ya Kesi ya Tundu Lissu

    Wanachama wa CHADEMA pamoja na Viongozi mbalimbali wakifanya maombi ndani ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Wafuasi wa Chama cha CHADEMA wamefanya maombi ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu ya...
  9. Msanii

    Polisi Morogoro wanacheza na dhamana ya Lucy Shayo aliyekamatwa akiwa njiani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu

    Ni takribani Siku Tatu Polisi Morogoro Wanamshikilia Lucy SHAYO kinyume na Utaratibu wa Jeshi la Polisi. Mpelelezi wa Lucy na R.C.O wa Morogoro Wamekuwa wakizikimbia Ofisi zao kwa siku zote ili kunyima haki ya Dhamana ya Lucy Shayo. Ni kwa bahati mbaya sana Dhamana ya Lucy Shayo haiwezi...
  10. Sifi Leo

    Hawa jamaa waliingizwaje choo Cha kike na Tundu Lissu, ili akawavue nguo?

    Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii? Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua...
  11. R

    GE2025 Rais wa TLS Boniface Mwabukusi afika Mahakamani Kusikiliza Kesi ya Tundu Lissu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025 kusikiliza mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu Kesi...
  12. Heparin

    GE2025 Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 9, 2025

    Utetezi wa Tundu Lissu kwenye kesi yake ya Uhaini, leo Septemba 9, 2025 === Leo Septemba 9, 2025 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa...
  13. R

    Professor Jay afika Mahakamani kusikiliza kesi ya Tundu Lissu

    Joseph Haule almaarufu Prof. Jay, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwasili leo Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
  14. Kimbesa11

    Kesi ya Tundu Lissu itumike kutufundisha kuwa Amani ya Taifa letu haichezewi, waasisi wa Taifa letu wameturithisha amani tuitunze na kuilinda

    Ndugu Watanzania wenzangu, linapokuja swala la Amani ya Taifa letu tusichukulie poa, tuwakemee watu wote wenye vimelea vya kuleta vurugu nchini mwetu, hii amani tuliyo ni utajiri tosha, tuepuke upotoshaji. Waasisi wetu walituachia amani, tuendelee kuilinda kwa uzalendo mkubwa, navipongeza...
  15. Waufukweni

    GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  16. Roving Journalist

    GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
  17. R

    Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  18. J

    Saa 11 alfajiri: Nishushe hapa Serena naelekea Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Ni kauli ya jirani yangu tukiwa ndani ya Bajaj mimi nikiwa nawahi Masifu ya Asubuhi yaani Morning Glory pale Kanisani Azania Front Nilishangaa sana 🐼
  19. McLaren

    Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
  20. Waufukweni

    GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
Back
Top Bottom