kesi ya tundu lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu yaunguruma Bunge la Ulaya. Democratic Union of Africa (DUA) nao watoa wito wa kuachiwa kwake haraka bila masharti

    Huko nyumbani Tanzania, danadana za kisheria zikiendelea mahakamani juu ya kesi iliyopewa jina la "Uhaini waTundu Lissu", katika duru na anga za kimataifa nako mambo ni moto, mwamba anapiganiwa vilivyo... Bunge la Ulaya [EU - Parliament] na Umoja wa vyama vya kidemokrasia Afrika - Democratic...
  3. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ondoa Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei, Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it. Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waandishi wa Habari watolewa nje ya chumba cha Mahakama kunakosikilizwa kesi ya Tundu Lissu Kisutu

    Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia, waandishi wa habari waliokuwepo walitakiwa kutoka nje ya ukumbi ili wasipige picha wakati Lissu akiingia...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Tundu Lissu ataweza kuchukua nchi?.

    Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo. Mimi siyo mtabiri. Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao. Kikubwa wanasiasa hawana dini na hawaamini kama kuna Mungu, wewe angalia matendo yao. Njoo kwenye mada sasa...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania yaondoa Maudhui ya mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu kwenye Mtandao wa YouTube

    Mahakama ya Tanzania imeondoa Maudhui ya Kesi ya Tundu Lissu kwenye Akaunti ya Mtandao wake wa YouTube. Hii ina maana gani? Ikumbukwe, zaidi ya watu 18,000 walifuatilia kesi hii 'Live' kwenye akaunti hiyo pekee ilipotajwa kwa mara ya mwisho Juni 2, 2025 huku makumi ya maelfu wakiendelea...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kimataifa yaendelea kufuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Mahakamani

    Nimefuatilia Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Tundu Lissu na Serikali Katili ya Tanzania leo Mahakamani Kisutu. Lakini kama kawaida yangu nilijikita katika kuangalia namna Jumuiya ya Kimataifa inavyofuatilia Kesi hii inayodhalilisha Taifa letu. Watu wa Mwanzo kabisa kufika Mahakamani...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu. Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
  9. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

    Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani. Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyo
  10. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Gwaji boy katumwa kutuhamisha kwenye kesi ya Tundu Lissu na Chadema. Shitukeni

    Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu. Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya...
  11. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mahakama na Misuse of Power: Uhalisia wa Kuvunjwa kwa Haki za Kikatiba kwa Kesi ya Tundu Lissu

    Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Lissu

    John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamwaga machozi mahakamani baada ya kumuona Lissu akisimama kizimbani

    Wakuu, Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu

    Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo? Pia soma LIVE -...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TLS Boniface Mwabukusi: Ni aibu kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa na Bunge la Ulaya. Inaonesha Watanzania wote hamnazo

    https://youtu.be/zJJTDTAdmMA?si=2-OHtOWYBhnzGLZk Anasema; • Ni aibu sana kwa kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa Bunge la EU kwa sababu Bunge la Tanzania ndilo lililopaswa kujadili jambo hili na kuhakikisha linaisimamia serikali kuhakikisha haki, sheria na taratibu za kidemokrasia zinazingatiwa na...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dkt Nshala afafanua hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, Kanisa Katoliki kupokea pesa za damu "hela ya mafuta ya gari ya Askofu"

    https://youtu.be/VTSdE_xlvxs?si=_ba2CV49hgNedyAF Huyu ni Dr Rugemeleza Nshala, mwanasheria mkuu wa chama - CHADEMA.. Kuhusu uamuzi wa mahakama kesi ya TL kuendelea kusikikizwa kwenye mahakama ya wazi, anasema; ➡Uamuzi wa kususia kesi kwa kutokwenda mahakamani, usingekuwa uamuzi wa busara hata...
  17. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025

    Bunge la Ulaya linatarajia kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini ambayo yanaweza kupelekea hukumu ya kifo, baada ya kukamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa atoa ufafanuzi kesi ya Tundu Lissu kusikilizwa kwa Mahakama Mtandao, aagiza Polisi kuendelea kudhibiti matishio ya kiusalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao wakiwa magerezani kupitia Mahakama Mtandao, hasa kunapokuwepo na viashiria vya matishio ya kiusalama...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kisheria, nini kitafanyika iwapo Tundu Lissu ataendelea kukataa "kutokea kwenye mahakama mtandao" ili kujibu mashitaka kesi yake yanayomkabili?

    Kila mtu anashangaa ni kwanini kesi ya jinai (yenye makosa matatu ya uchochezi) na ya uhaini (treason) zote zikimkabili mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Ndugu Tundu Lissu zimekuwa na complications za ajabu ajabu kiasi hiki.. Mlolongo wa matukio: Tarehe 10/4/2025: ➡Afikishwa kwa mara ya kwanza ktk...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chacha Heche aeleza masikitiko yake kuhusu kuzuiwa kwa Wananchi Kesi ya Tundu Lissu Kisutu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara Chacha Heche ameeleza masikitiko yake kufuatia hatua ya Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kuwazuia wafuasi wa chama hicho na wananchi kwa ujumla kuhudhuria kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu...
Back
Top Bottom