kesi ya tundu lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri wasiopungua watatu wangojewa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Februari 17, 2026, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Leo kesi hiyo itaendelea kusikilizwa mfululizo katika hatua ya ushahidi, ambapo tayari mashahidi wanane wa Jamhuri wameshatoa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  3. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mdau anauliza, Kwanini mahakama imefuta video za kesi ya Tundu Lissu zilizokuwa zikirushwa live kwenye Channel ya mahakama?

    Mwenye Kuwa na ufahamu wa Kwanini videos zimefutwa.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Wananchi 16 wajeruhiwa kwa vipigo vya Polisi wakifuatilia kesi ya Tundu Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Wanachama wake kadhaa leo wamepigwa na Polisi wakati walipofika Mahakama kuu asubuhi ili kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wafanya maombi Mahakamani kabla ya Kesi ya Tundu Lissu

    Wanachama wa CHADEMA pamoja na Viongozi mbalimbali wakifanya maombi ndani ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Wafuasi wa Chama cha CHADEMA wamefanya maombi ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu ya...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro wanacheza na dhamana ya Lucy Shayo aliyekamatwa akiwa njiani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu

    Ni takribani Siku Tatu Polisi Morogoro Wanamshikilia Lucy SHAYO kinyume na Utaratibu wa Jeshi la Polisi. Mpelelezi wa Lucy na R.C.O wa Morogoro Wamekuwa wakizikimbia Ofisi zao kwa siku zote ili kunyima haki ya Dhamana ya Lucy Shayo. Ni kwa bahati mbaya sana Dhamana ya Lucy Shayo haiwezi...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa waliingizwaje choo Cha kike na Tundu Lissu, ili akawavue nguo?

    Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii? Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais wa TLS Boniface Mwabukusi afika Mahakamani Kusikiliza Kesi ya Tundu Lissu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025 kusikiliza mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu Kesi...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 9, 2025

    Utetezi wa Tundu Lissu kwenye kesi yake ya Uhaini, leo Septemba 9, 2025 === Leo Septemba 9, 2025 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Professor Jay afika Mahakamani kusikiliza kesi ya Tundu Lissu

    Joseph Haule almaarufu Prof. Jay, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwasili leo Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
  11. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu itumike kutufundisha kuwa Amani ya Taifa letu haichezewi, waasisi wa Taifa letu wameturithisha amani tuitunze na kuilinda

    Ndugu Watanzania wenzangu, linapokuja swala la Amani ya Taifa letu tusichukulie poa, tuwakemee watu wote wenye vimelea vya kuleta vurugu nchini mwetu, hii amani tuliyo ni utajiri tosha, tuepuke upotoshaji. Waasisi wetu walituachia amani, tuendelee kuilinda kwa uzalendo mkubwa, navipongeza...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Saa 11 alfajiri: Nishushe hapa Serena naelekea Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Ni kauli ya jirani yangu tukiwa ndani ya Bajaj mimi nikiwa nawahi Masifu ya Asubuhi yaani Morning Glory pale Kanisani Azania Front Nilishangaa sana 🐼
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askari Magereza wakiwa mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lissu wavalia matambara usoni kuficha nyuso zao?

    Nimepatwa na mshangao leo na joto lote hili la Da-es-Salaam hawa askari wa jeshi la magereza ambao humsindikiza Tundu Lissu mahakamani na kusimama mle, bila haya wa soni huvalia matambara usoni kuficha nyuso zao kwa muda wote wa kesi inavyoendelea. Ni nini hii kuficha aibu, kuona haya, kuogopa...
  19. Zed

    JamiiForums Tanzania Je DPP anataaka kutumia AI kwenye kesi ya TUNDU LISSU?

    Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano. Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna hatari ya kutumia artificial intelligence au mamluki wengine. Korti ya karne AI ikatae kuficha...
  20. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus na Mjumbe wa EU, arefusha ziara yake ili audhurie kesi ya Lissu

    Waziri wa mambo ya nje wa Cyprus bwana Constantinos Kombos, alitumwa kumwakilisha kamishina wa wambo ya nje katika umoja wa ulaya kuja Tanzania. Moja ya Marengo ya ziara hiyo ilikuwa ni kuangalia jinsi uchaguzi mkuu utakavyofanyika. Ratiba ya awali ilionesha bwana Kombos angeondoka July 10...
Back
Top Bottom