kesi ya mbowe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi haukutoa kikwazo chochote kwenye sababu hiyo. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ==============...
  2. leonaldo

    Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

    Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja . MIC TANZANIA PUBLIC...
  3. leonaldo

    Je, unafahamu ni kwa kipindi gani data zako zinaweza kutunzwa kabla ya kufutwa na mtoa huduma? Kesi ya Mbowe imetutoa usingizini

    Kimsingi watanzania tulio wengi hatufahamu ni kwa muda gani service provider anaweza kutunza data zako za(mawasiliano yako ya simu) kwa mujibu wa sheria,lakini pia ni wangapi tunafahamu haki zetu za kumuomba service provider kufuta data zetu pale mkataba wako wa matumizi ya akaunti unapo...
  4. Mshana Jr

    Mitandao ya simu Tanzania ipo 'compromised'?

    Ni wiki ya Mtandao wa Tigo Tanzania baada ya muajiriwa wake kitengo cha sheria kuwa mmoja wa mashahidi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kampeni zimeanza kushika kasi kila kona kususia huduma za mtandao husika. Hili lina madhara...
  5. B

    Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

    Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza: Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara: Ikumbukwe Fred Kapara aliwahi ibuka pia kwenye case almaarufu ya kujiteka kwake bwana Abdul Nondo. Huko pia bwana huyu alikuwa...
  6. Tajiri Tanzanite

    Uongo mbaya, jamhuri wamejipanga dhidi ya kesi ya Mbowe

    Hapo vip!! Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi. Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka. Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia...
  7. Q

    Kesi ya Mbowe: Hadi sasa sijaona ushahidi wowote unaoonesha kulikuwa na ugaidi

    Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi. Shahidi badala ya kuthibitisha uhusiano wa silaha iliyokamatwa na mtuhumiwa anakuja kutuambia silaha zilizokamatwa ni nzima kwani silaha kuwa...
  8. B

    Kesi ya Mbowe: Thamani ya ushahidi wa shahidi #4 ni ipi?

    Anita Valerian Mtaro shahidi #4 mkristo mwuuza pombe za kienyeji, alitimba mahakamani incognito ndani ya vazi la kiislam akiwa pia katupia barakoa lenye kumwachia macho ya kuweza kuona peke yake. Shahidi huyu wa upande wa mashtaka amesikika akisema alishuhudia zoezi zima la kukamatwa kwa...
  9. Replica

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

    Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 11/01/2021 ========== Watuhumiwa wote...
  10. Fundi Madirisha

    Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

    Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
  11. K

    Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

    Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error". Je, sheria na mahakama zinasema kuhusu hiki kinachoitwa "typographical error"? Ukweli ni kwamba mtu...
  12. B

    Kesi ya Mbowe: Makamanda Tunapopigwa Bao

    Siyo siri kuwa vita vitakatifu vinaendelea pale mahakamani. Ni wazi kuwa ule upande mwingine bila kumwacha awaye yote: wote wako Chobingo, na wala si cha mtoto! Tunapo tathmini yanayojiri tokea kuanza kwa marumbano yaliyopelekea kesi hii na yote tuyaonayo, hakuna asiyejua mzizi wa fitina ni...
  13. B

    Kesi ya Mbowe: Umuhimu wa Ushahidi wa CPL. Abdallah ni Upi?

    Umesikika ushahidi wa Cpl. Hafidh Abdallah (shahidi #3) kutokea Police Forensic Bureau, Dar es Salaam. Shahidi anadai alipokea bastola moja, risasi tatu na barua yenye maelekezo kutokea office ya DCI. Kwenye taarifa yake rasmi shahidi anasema: Yaani ameshiriki kwenye kukagua na kutambua...
  14. chiembe

    Mambo usiyoyajua kuhusu kesi ya Mbowe: Jaji Luvanda, Siyani, Tiganga, wamesoma darasa moja UDSM, pia wamesoma pamoja na Deputy DPP!

    Je wajua? Jaji Luvanda, aliyekataliwa na Mbowe, Jaji Siyani aliyejitoa, na Jaji Tiganga, anayeendesha shauri sasa, wote walianza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000, na kumaliza 2004. Na pia walisoma na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Nchi ya Tanzania JP Tunajua wajua lakini tutaendelea kukujuza
  15. Roving Journalist

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

    Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 29/10/2021 UPDATES Mpaka sasa...
  16. mdukuzi

    Alibi imehitimisha kesi ya mbowe

    Kwenye sheria kuna kitu kinaitwa Alibi,tamka Alibai,an evidence which shows that the suspect was else where when the crime was conducted, wakati shahidi wa jamhuri anadai january ndio walikutana na mbowe kupanga mipango ya uhalifu, rekodi zinaonyesha mbowe alikuwa rumande segerea,kaazi kwelikweli
  17. B

    Kesi ya Mbowe: Umuhimu wa Ushahidi wa Kaaya ni upi?

    Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake: 1. Alivyokutana na Mh. Mbowe 2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya. 3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi. 4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe. Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia...
  18. B

    Socket kubwa ya umeme yadaiwa kung'olewa chumba cha mahakama inayosikiliza kesi ya Mbowe. Mahakama inasemaje?

    Repoter wa tweeter anayejiita Martin ameripoti ifuatavyo kwenye moja ya tweet yake; Hapa mahakamani kuna socket ipo nyuma kabisa, dawati wanaloketi sana waandishi na makarao, ile socket inasaidia sana wadau kuchomeka tronic kubwa na kuchaji simu zetu. Sasa juzi ilikuwepo, jana tumefika...
  19. K

    Mbona picha za shahidi wa pili kesi ya Mbowe zinamwonyesha Kama anatumia mkorogo? Au zimeeditiwa?

    Kuna watu wanamlaumu Shahid wa pili Bw. Kaaya kwamba amejichanganya Sana kutoa ushahidi wa uongo mahakamani. Lakini tumeona mwonekano wake, endapo hizi picha zinazosambazwa ni za kwake ina maana amjaona tatizo la uimara wa kimaumbile wa kijana huyu? Its like anatumia mkorogo ili apendeze...
  20. Suley2019

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

    Salaam Wakuu, Ile Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Fuatilia uzi huu ili kujua kinachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 28/10/2021 ==== Mawakili upande wa...
Back
Top Bottom