Saoka
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 404
- 563
Habari ndugu zangu wa huku wakubwa kwa wadogo, kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25, pia nimuhitimu wa chuo kikuu fulani fani ni usimamizi na uongozi(Public administration and Management) Diploma (2019) pamoja na Computer Application.
Nimekuja hapa mbele zenu kuwaombeni ushauri kwa kuwa tangu nihitimu mpka leo sijayafikia malengo yangu binafsi kwakuwa bado sijapata Ajira rasmi ila nilikuwa nikijihusisha na mambo mengine tofauti ilimradi kujipatia kipato imean, shughuli ndogo ndogo za hapa na pale kwakuwa bado naishi na wazazi na Sina mwongozo wowote ule..
Hivyo kwa kuwa nimekuwa naishi na wazazi basi Nina changamoto mbali mbali ikiwemo wazazi kunisema vibaya ilhali bado sijaweza kujishkiza vizuri/kujitegemea binafsi, hivyo inafikia hatua hata kuniona kama mzigo kwao,kitu ambacho kinanifanya kujisikia vibaya hata ninapopita mbele za watu
Hivyo ndugu zangu naombeni mnishauri nini nikifanye hata tofauti na huu mkoa niliopo wenda kwangu kitaweza kunifariji na kunitia nguvu zaidi kwa kuwa huwa sichagui kazi yeyote ile nafanya ilimradi tu iwe ya halali, nahisi kwa kuwa nipo karibu na wazazi naona kama nikero kwao maana mara zote tupo pamoja nao..
NB; Hata ikiwa nje ya Taaluma yangu nipo Tayari kikubwa nitoke haya maeneo ya nyumbani maana naona kama nimekuwa kero kwao.