kero za muungano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye Mamlaka Kamili

    Kama una amini siku zanzibar itarudi kua dola basi comment make ZANZIBAR great again Soma Pia: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kongamano Miaka 61 ya Muungano Samia funga kazi. Kati ya Kero 25 ametatua 15 zimebaki 3, apewe maua yake

    Wanabodi Angalizo la Uchawa! Baada ya kutokea fani mpya ya uchawa, kuna watu wenye akili fupi humu, ukisifu tuu jambo lolote zuri la Rais, unanyooshewa kidole cha uchawa!. Tofauti ya pongezi za kweli na pongezi za kichawa. Pongezi za kweli ni mtu unapongeza kwenye mazuri, na ikitokea...
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo 22 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Je, Muungano umekuwa na tija gani kwa pande zote mbili?

    kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wa Zanzibar wasitoke nje ya Bunge yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika?

    Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika? Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?

    Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

    Hello! Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka. Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority. Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili yaundwe upya, yamebadilishwa majina au yameunganishwa na maeneo mengine. Mfutaji ni Waziri wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za bara tunaomba wote, lakini za Zanzibar wanataka Mzanzibar pekee

    Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili. Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar. Mzanzibar anafaida mara 2...
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Wazinzabar wanaipenda Nchi yao kama Mama Yao, Tanganyika hamna kitu

    In a very serious note, Wazenji Wana uchungu na Nchi/kisiwa Chao, wanajua Haki zao na Wanajua kujenga hoja na kutafuta fursa kwa ajili yao na Ndugu zako na kesho Yao. To be honest, Zanzibar wangepewa TANGANYIKA Leo hii, huu upumbavu unapendelea I am sure usingekuepo. Sio Vibaya kujipenda na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Si kwa ajili ya ubaguzi, bali namshauri Rais Samia aepuke kufanya maamuzi makubwa ya muda mrefu yanayohusu upande wa Tanzania bara peke yake

    Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao. Katika hali kama hii, na...
  10. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa marais wote kutokea upande mmoja?

    Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayotawaliwa na marais wawili kwa wakati mmoja, mabunge mawili, nyimbo za taifa mbili, majaji wakuu wawili, katiba mbili, bendera mbili, maspika wawili, makamu wa rais sasa hivi watatu, marais wanaopigiwa mixinga 21 wawili nk Zamani ilikuwa Rais akitokea...
  11. Munamuge

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imeruhusu kuugawa Utanzania katika matabaka ya Bara na visiwani?

    Wakuu, habari za jioni. Kwanza kabisa napenda kutamka wazi kwamba mimi ni Mtanzania ninaetamani tuwe na Muundo pendekezwa wa serikali tatu. Nikirudi kwenye mada yangu, nimeshangazwa sana na kitendo cha serikali kuamua kutugawa katika matabaka kwa kutaka tutambulike Utanzania wetu ni wa Bara...
  12. DustBin

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Uandishi Zanzibar na Wabara waruhusiwe kushiriki

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri, Mimi ni katika waumini wa Muungano, na kawaida hua naupigia chapuo kutokana na manufaa yake kwa pande zote mbili. Lakini hii ya leo imenifanya nishindwe kuvumilia hata kama nina kolomelo. Kuna kundi moja sogozi la waandishi nimeona kumetumwa tangazo la tuzo ya...
  13. Khalfan Omari Missima

    JamiiForums Tanzania Nchi hii sasa kila kitu Zanzibar

    Kwa nionavyo mimi nchi yetu inako elekea ni kubaya sana. Nasema hivi kwa sababu katika utawala huu unao jiita awamu ya sita bila ilani ya awamu hiyo, imeifanya nchi kuonekana inafanya promo ya upande mmoja wa muungano kuliko upande mwingine, kwa sasa ni jambo la kawaida kwa vyombo vyetu vikubwa...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tawfiq: Biashara kati ya Zanzibar na Bara ni Kama Nchi Ziko Vitani

    Bwana Mbunge ameeleza sintofahamu iliyopo kati ya Zanzibar na Bara kwenye Biashara Kwa sababu Kuna utofauti mkubwa kiasi kwamba maingiliano ya biashara ni kama Nchi ziko Vitani wakati ziko kwenye Muungano --- Mbunge wa Jimbo la Mpendae Unguja @toufiqsturky amesema Zanzibar kuna changamoto kubwa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kizazi hiki tutahakikisha kero za muungano zinashughulikiwa ifikapo 2045

    Kutokana na muungano wa sasa kuwa na makando kando (kero za muungano) ambayo miaka nenda rudi hayajaweza kutatuliwa na kizazi cha babu zetu, baba zetu. Sisi kizazi cha DOT COM ambacho hakina mbambamba tutahakikisha kero za muungano zinashughulikiwa na kuhakikisha taifa linastawi. Babu zetu na...
  16. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Uwiano ya bajeti 2024 kwa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Tanzania Bara siyo sawa. Zanzibar imependelewa zaidi mara 12. Ona hapa

    Bajeti Tanzania Bara ni takriban trilioni 50. Bajeti ya Tanzania Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1 Ukija kwenye idadi ya watu Tanzania Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz Zanzibar Milioni 0.5 (laki 5) . Hivyo uwiano 120: 1. Ukiangalia mlinganyo huo, uwiano wa idadi ya...
  17. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Marais wa JMT wanaotokea upande wa Visiwani, sifa yao kuu ni lazima wawe "Low Key" na "Wasiwe na skendo chafu"

    Kuanzia kwa Mwinyi mpaka aliyepita Shein, sifa kubwa iliyowawezesha kuuwezea Urais wa JMT ni cha kwanza walikuwa humble na hawakuwa na skendo chafu chafu. Kimsingi ili Rais kutoka visiwani aweze kutoboa kuiongoza JMT ni lazima asifanye maamuzi ambayo yatawafanya Watanganyika wajione kama...
  18. Clever505

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ni lazima iendelee kuungana na Zanzibar?

    Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa siku mbili/tatu huwezi kuyaelewa. Adui wakubwa wa Wazanzibar ni: 1. CCM Huku watu wote hawaitaki...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ukijua maana ya Taifa, Nchi na Serikali basi Utaelewa Tanzania ina Serikali Moja tu!

    Nisingependa kukuchosha kwa kukuandikia notes bali wewe mwenyewe google ujifunze maana ya Taifa ( nation), Nchi( country) na Serikali ( government) Ukichambua kimakini utagundua pale TANU na ASP zilipoungana tukawa na Utamaduni Mmoja wa kisiasa kimsingi hata Serikali ikawa ni Moja tu hii ya...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wananchi waukataa Muungano wa Serikali mbili

    Huu ni utafiti usio rasmi! Yeyote mwenye mashaka aingie "field" kujiridhisha. Watanganyika hawautaki kwa sababu hawakushirikishwa. Rais wao wa wakati huo alijiamulia mwenyewe bila kujali matakwa ya wananchi wengi. Wazanzibar ndiyo kabisa, hawataki hata kuusikia. Nao kama wangeshirikishwa...
Back
Top Bottom