Khalfan Omari Missima
New Member
- Nov 9, 2016
- 2
- 3
Kwa nionavyo mimi nchi yetu inako elekea ni kubaya sana.
Nasema hivi kwa sababu katika utawala huu unao jiita awamu ya sita bila ilani ya awamu hiyo, imeifanya nchi kuonekana inafanya promo ya upande mmoja wa muungano kuliko upande mwingine, kwa sasa ni jambo la kawaida kwa vyombo vyetu vikubwa vya habari kuonesha matukio na kuitangaza zanzibar kuliko ilivyo kwa Tanganyika, yaani sasa Zanzibar ndo Tanzania kwa mifano michache ifuatayo:-
Matamasha yote yenye mivutio ya utalii yanafanyika Zanzibar.
Michezo yote yenye mivutio ya utalii inafanyika Zanzibar.
Mikutano yote yenye mivutio ya utalii inafanyika Zanzibar.
Matangazo yote ya utalii yanaihusu zanzibar, yaani ni kama vile siku hizi vivutio kama kilimanjaro, ngorongoro, rwaha, mikumi, fukwe n.k. havipo tena na badala yake zimeba fukwe na mahoteli ya zanzibar tu.
Safari zote za Rais ambazo kuna mawaziri wa muungano, na mawaziri wa Zanzibar lazima wawemo, yaani ni kana kwamba serikali ya Zanzibar ni sehemu ya Muungano.
Ukisikia uteuzi hata kwenye wizara zisizo za muungano na wanzanzibar wamo.
Kwa ufupi zanzibar ni zaidi ya Tanzania.
Yaani yaani yanayo tokea sasa hata wakati wa mzee Mwinyi hatukuyaona.
Nauliza:
kama hali ndivyo ilivyo kwa yaliyo wazi vipi kwa yaliyo fichika?
Na je kwa kasi ya maendeleo tunayo yashuhudia zanzibar kodi za watanganyika zipo salama kweli?
MAPOVU RUKSA
PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?