kero za muungano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo yaliingia mkataba wa muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa dola la...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni nafasi adhimu kwa Zanzibar kuitumia kutatua kero za Muungano

    Ndugu zangu, kwanza nitoe pole kwa wote kufuatia kifo cha Raisi wetu mpendwa. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37(5) Makamo wa raisi, mama Samia, ndiye atakaye kuwa raisi wetu kwa kipindi chote kilichobakia kuelekea...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Lipo wapi tatizo kwenye Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Tafakari!

    It has been a tradition to relish the festival and celebrate the founders of our Union Mwalimu Nyerere and Abeid Karume to parades. However, it has been a sin, too dangerous for anyone to question or want to critique this Union. My purpose here is not to question the history or legitimacy of...
  5. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Waliohoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wafikia hatua gani?

    Wale ndugu zetu 40,000 wa Tanzania waliofungua kesi mahakama ya Afika Mashariki juu ya kuhoji uhalali wa uwepo nchi ya Tanzania wamefikia wapi? April 26, 2019 Tanzania imeadhimisha miaka 55 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Muungano huo ndio uliozaa Tanzania ambao uliasisiwa na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sawa na Muungano wa Siria na Ejibti walioungana 1958

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni muungano wa kupigiwa mfano duniani na muungano uliodumu miaka 55 kwa sasa. Ni dola mbili huru zilizoungana Tanganyika walipata uhuru wao Desemba 9/1961 na wapata kiti chao cha Umoja wa Kimataifa tarehe 14/Desemba 1961 namba ya kiti chao (GA Resolution 1667...
  7. Kakke

    JamiiForums Tanzania Sheikh Karume angeshauvunja Muungano

    _Na Ahmed Rajab_ TUNAUHITIMISHA mfululizo huu wa makala matatu kuhusu Zanzibar baada ya kupinduliwa wa serikali huru ya Zanzibar Januari 12, 1964 kwa kuuangalia Muungano ulioundwa baina ya Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, mwaka huo. Licha ya kuwa hai kwa miaka 55 hakuna asiyetambua kwamba...
  8. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Tuna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tu, siyo Tanzania

    Kwa mujibu wa Mkataba wa Muungano uliotiwa sahihi Aprili 22, 1964 kati ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, na kwa mujibu pia wa Sheria ya Muungano, Namba 22 ya 1964 iliiyoridhia Mkataba huo kuupa nguvu ya Kisheria na kutumika nchini, jina sahihi la Muungano...
  9. Rev. Kishoka

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
Back
Top Bottom