kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Uchumi wa Kenya in the first half of the year 2021 umekuwa by an average of 5.4 %

    In the first quarter, uchumi wa Kenya ulikuwa by 0.7%. In the second quarter, uchumi wa Kenya ulikuwa by 10.1%. Kwa hivyo average in the first half of the year inakuwa 5.4%. Officially Kenya is no longer in recession due to two consequtive quarters of growth. ====== Economy rebounds 10.1pc in...
  2. Lumbua people go Northern Tanzania and Southern Kenya picture was taken in 1930

    Lumbwa people, The Lumbwa (also Lumbua, Umpua, Humba and Wakwavi) were a pastoral community which inhabited southern Kenya and northern Tanzania. The term Lumbwa has variously referred to a Kalenjin-speaking community, portions of the Maa-speaking Loikop communities since (at least) the...
  3. Erick Omond anasema kweli kuhusu Muziki na Wasanii wa Kenya?

    Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini, Jua Kali, Nameless, Wahuu, Nazizi, P Unit, Meja etc ambao kidogo walikua wanaleta Chalenji kwa bongo...
  4. K

    Kenya: Wasanii na Watu wanaoonyesha Vitu vya Thamani Mtandaoni Kuchunguzwa na Mamlaka ya Mapato

    Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) inawafuatilia watu wanaochapisha vitu vya anasa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuwabaini watu wanaokwepa kodi. Mchapisho yanayoonesha magari ya anasa, majumba ya kifahari, na sherehe (parties) wanafuatiliwa na maafisa wa KRA...
  5. Hongera Kenya. 92.3% ya umeme wetu ni wa nishati mbadala (renewable energy)

    92.3% ya umeme wetu ni renewable energy. Tutagonga 100% kabla ya mwaka wa 2030. Renewables Provided 92.3% Of Kenya’s Electricity Generation in 2020! As the world races to decarbonize, Kenya’s electricity sector is well on the way to being powered by 100% renewables. According to the latest...
  6. Watanzania wakamatwa kwa kujaza omba omba wao Kenya

    Hamchoki ndugu zetu, mjitume maana huo uzembe utawatesa sana na kuendelea kubaki maskini miaka yote licha ya raslimali zote hizo. Two Tanzanians have been charged with sneaking their countrymen into Nairobi for exploitation through commercial begging. The suspects, Kuyi Paulo and Sita Yohana...
  7. Ismaili Bayumi kijana aliyeingiza TANU Kenya 1950s

    BI. TITI MOHAMED ALIVYONIKUTANISHA NA ISMAILI BAYUMI Tuwekeni kumbukumbu kwani kumbukumbu ikihifadhiwa hukumbusha. Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana. Nimekuwa nikiitafuta picha ya marehemu Ismail Bayumi kwa miaka mingi bila mafanikio. Nataka nieleze vipi nilipata historia ya Ismaili...
  8. Taasisi ya kuzuia Rushwa Kenya inaonesha jinsi ya kupunguza rushwa ya matrafiki

    Waswahili wanasemaga kuwa iga kilicho bora. Takukuru ya nchini Kenya inaonyesha jinsi ya angalau kupunguza rushwa ya matraffic nchini humo. Hii style ingetufaa hapa kwetu maana haina haja ya upelelezi tena hapo.
  9. Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  10. Equity set to spend Sh500bn on Kenya, South Africa businesses

    Equity Group has set aside Sh500 billion to finance Kenyan and South African firms seeking to trade or invest in Africa, in a move to expand its business beyond seven countries where it operates. The bank will offer credit to companies that want to set up manufacturing, construction, health and...
  11. C

    Kenya: Walinzi wamuua Mwanafunzi wa kiume baada ya kumkuta bwenini kwa wanafunzi wa kike

    Walinzi watatu wa Shule ya upili ya Wasichana ya Komothai Nchini Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa kiume wa Shule nyingine jirani ya Wavulana aliyekutwa kwenye Bweni la Wasichana la Shule hiyo saa kumi alfajiri wiki iliyopita. Taarifa ya leo imesema Walinzi hao Joseph Mutahi...
  12. J

    Mgawanyo wa Afrika Mashariki ya awali ulikuwa Tanzania Siasa, Kenya Viwanda na Uganda Elimu

    Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977. Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano. Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu Je, tumebadilika? Jumaa kareem!
  13. Wapi naweza kupata Baseball bat ndani ya Kenya au Tanzania?

    Nina shida ya hizi Baseball bat, kwa anaefahamu sehemu naweza pata l.
  14. Retired General Karangi aelezea jinsi Kenya ilivyoinyakua Kismayu kutoka kwa mikono ya Al Shabab

    Retired chief of the general staff, general Karangi ambaye ndiye alikuwa mkubwa wa majeshi 2012 wakati KDF iliitimua Al Shabab kutoka Kismayu aelezea planning iliyofanyika ili kuiwezesha Kenya kuchukua city hii kutoka kwa Al Shabab. City hii ya Kismayu ni muhimu maana ndio mji wa pili kwa ukubwa...
  15. Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
  16. Siasa ya Kenya ina ucheshi sana

    Kuna hii video nimepatana nayo huko youtube nakuambia imeniwacha hoi, nimecheka kweli. Siasa ya Kenya kweli ina ucheshi sana. Halafu huyu jamaa aliyeunda hii video namvulia kofia. Hongera kwake.
  17. Kenya: Mtoto wa miaka 14 amuua mtoto aliyekula ugali wake

    Mtoto wa miaka 14 wa Navakholo, Kaunti ya Kakamega amemuua mwanafunzi mwenzake wa miaka 10 kwa kumpiga na kitu kichwani na kuutupa mwili wake Mto Simakina Mtoto huyo aliporudi shule aliambiwa mwenzake (Jirani yao) ameshakula Ugali Kunde aliowekewa, ndipo alipomfuata machungani na kumshambulia...
  18. Kenya court declares biometric ID rollout illegal

    The high court in Kenya has declared illegal the rollout of a biometric ID scheme also known as Huduma Namba. The judge said the rollout went against the 2019 data protection act. The government was also faulted for not assessing how data protection would be impacted before the rollout. The...
  19. J

    Uhuru Kenyatta kabeba ajenda za Afrika Mashariki kwenye kikao chake na Joe Biden wa USA

    Tofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao. ======= Biden Welcomes Kenyatta to the White House U.S. President Joe Biden hosts...
  20. Somo gani tunajifunza Watanzania kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia

    Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…