kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. KENYA: Kilio Wakenya wanaouawa, kudhalilishwa kisa kazi Mashariki ya Kati, Serikali yaambiwa kuamka

    Francis Atwoli Katibu wa Muungano wa Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli ameikosoa Serikali ya Kenya kwa kutokuwa na nguvu katika suala la Wakenya kufanyishwa kazi katika Nchi za Mashariki ya Kati. Atwoli amewajia juu Waziri wa Kazi na Waziri wa Masuala ya Kigeni kwa kushindwa kushughulikiwa...
  2. TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead. The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta. “It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House. “I order...
  3. Rais wa Burundi naye pia aja Kenya kujadili usalama na amani DRC

    Muhimu tubuni mbinu za kuisaidia DRC ikumbutie amani. ====== Burundi's President Evariste Ndayishimiye arrived in Nairobi, Kenya, Thursday for the East African Heads of State meeting on peace and security in the region. According to a communique released by Burundi's State House (Ntare...
  4. Rais wa DRC arudi aja Kenya tena kujadili usalama wa nchi yake

    Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa. ======= DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city. He was last in Nairobi early this month for the signing of...
  5. Amazon nao hawajaachwa nyuma, wanaingia Kenya kwa kishindo, wanawekeza "local zone" ya pili Afrika Nairobi

    The entry of Amazon Web Services (AWS) into Kenya’s cloud computing ecosystem is set to bolster the country’s preparedness for the take-off of the Fourth Industrial Revolution (4IR) as its rapid technological transformation keeps attracting Big Tech. Last week AWS set up a Local Zone in Nairobi...
  6. Polisi huwa wanapitia changamoto gani kwenye kazi yao? Kenya 2000 wana matatizo ya kiakili yasiyoruhusu kuendelea kubaki kazini!

    Yawezekana badala ya kuwa tunawesema kila siku labda iangaliwe namna ya kusaidiwa au tunawashikia bango watu ambao akili zao haziko sawia. Hata hapa kwetu zipo hizi shida labda tu hawajazifanyia utafiti. Unakutana na polisi jambo la kawaida lakini mtu anakuwa mkali na kutumia nguvu kupitiliza...
  7. Polisi 2000 wa Kenya wana matatizo ya kiakili

    Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno! Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi. ==== Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
  8. M

    Kenya2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

    Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu. Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
  9. Kenya inatuzidi wapi Tanzania? Baada ya Microsoft na Visa kufungua vituo vyao Nairobi, Google nayo yasema inafungua kituo chake nchini humo

    Google imetangaza kuzindua kituo cha ukuzaji wa bidhaa jijini Nairobi, ambacho ni cha kwanza katika bara la Afrika, ili kujenga bidhaa na huduma za "mabadiliko" kwa soko la Afrika na ulimwengu. Haya yanajiri baada ya kampuni hiyo kubwa ya teknolojia kufichua mipango ya kuwekeza dola bilioni 1...
  10. KENYA: Walimu waiomba Serikali kuruhusu wanafunzi wachapwe shuleni, wadai nidhamu imeshuka

    Baadhi ya walimu Nchini Kenya wanataka adhabu ya viboko kurudishwa shuleni, ili kuwaadhibu wanafunzi wasiokuwa na nidhamu. Adhabu ya viboko ilipigwa marufuku katika shule za Kenya mwaka 2001 na sheria inawalinda watoto dhidi ya manyanyaso ya aina yoyote. Lakini baadhi ya walimu wakuu wa shule...
  11. Jambojet yaruhusiwa safari za ndani ya Tanzania, huku Taifa gas ikiruhusiwa kufungua kiwanda Kenya

    Tunakwenda vizuri hadi hapo. Hakuna majungu ila tu makubaliano ya kibiashara, hamna cha kuchomeana vifaranga ======== Tanzania and Kenya have hammered out a bilateral trade deal cutting across the aviation and energy sectors, enabling growth of the Common Market. In the new deal, Kenyan...
  12. J

    Kwa kauli hii Raila Odinga ataiharibu Kenya kama Magufuli alivyoharibu Tz

    Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia...
  13. Kenya: Serikali yamfukuza Raia wa Ufaransa kwa kuficha mafuta

    Mmalaka Nchini Kenya imesitisha kibali cha kuendelea kuishi Nchini humo mmoja wa wauzaji wakubwa wa mafuta raia wa Ufaransa kutokana na sakata la uhaba wa mafuta linaloendelea. Mfaransa huyo ni Christian Bergeron ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Rubis Energy Kenya ambayo ni kampuni tanzu...
  14. Kumbe Kenya ndio inaunda jiko nyingi sana duniani

    Kuna huyu mzungu aliyeanzisha kampuni yake hapa Kenya ya kuunda efficient jiko ambayo haitumii makaa kwa wingi kwa jina la Jiko koa. Anasema kwamba kampuni yake sasa ndio inayotengeneza jiko nyingi zaidi duniani. Mwezi huu pekee wataunda jiko 70,000 na nyingi zinakuwa exported nje ya Kenya.
  15. L

    Maktaba ya Kitaifa ya Kenya yaandaa shughuli za lugha ya Kichina

    "Ni maua ya kupendeza ya asumini, yanachanua na kutoa harufu nzuri na kuwavutia watu..." Tarehe 8 Aprili katika Maktaba ya Kitaifa ya Kenya jijini Nairobi, mhitimu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi alikuwa akifundisha jinsi ya kuimba wimbo wa Kichina "What a Beautiful...
  16. Kampuni za ukaguzi wa magari zilizopigwa marufuku Kenya zaomba tenda Tanzania

    Imebainika kuwa kampuni mbili zilizopigwa marufuku kufanya kazi Nchini Kenya ni miongoni mwa kampuni nne zilizoomba zabuni ya kukagua magari katika bandari ya Dar es Salaam. Tangazo la zabuni lililopo kwenye tovuti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili 4...
  17. M

    Job vacancy in Kenya

    St patrick hill schools invites qualified applicants for english/lit and biology/chemistry .Working hours 7-5 pm.There are two lessons per week 6-7pm and two 6-7 am .Housing provided single rooms .Food provided.Saturday is a working day and Sunday if on duty. Salary 17,000kes gross per month no...
  18. B

    Ujumbe mahsusi wa Putin kwa Kenya

    Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa: Vipi uliwafikia au ndiyo mmefanya kama hamjauona? Poleni lakini, ila huo ndiyo ukweli wenyewe.
  19. Wasichana 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo: Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya Takwimu hizi za Wizara ya Afya kenya zinabainisha 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya (Januari...
  20. Serikali ya wenzetu Kenya kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yliyoundwa nchini Kenya.

    Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya. Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa. Tahadhari kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…