kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Kenya kutumia Tsh. Bilioni 86.1 kupeleka wanajeshi DR Congo

    Bunge la Kenya limepitisha kiasi hicho cha fedha kwa Wanajeshi 1,000 kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikiwa ni bajeti ya miezi 6. Imeelezwa ruhusa hiyo ya Dola Milioni 37 imetolewa siku mbili baada ya Waziri wa Ulinzi, Aden Duale kukutana na Kamati ya Ulinzi ya Bunge. Fedha hizo...
  2. Kenya yarekodi visa vipya 127 vya Covid-19, maambukizi yapanda mpaka 16.6%

    Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6 Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa 66 na mtu mdogo zaidi ni mtoto wa mwaka mmoja na mkubwa zaidi ana umri wa miaka 87. Jumla ya watu...
  3. Mchakato wa kupitisha bidhaa za vyakula toka Kenya to Tanzania

    Jinsi ya kuingiza bidhaa za viwandani za vyakula. Kama mafuta ya kula na vinavyofanana na hivyo kutoka kenya. Ni nini unapaswa kufanya kabla hujaenda kuchukua na baada ya kununua unapita vipi mipakani. Kwa jumla anaejua process zote za swala hili
  4. Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
  5. Huu hapa Mkataba kati ya walipa kodi wa Kenya na Benki ya Exim ya China

    Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line. Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka. Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china. Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye...
  6. Hongera kwa Ruto kutowarembea M23, Akiwa mpole Kenya Magharibi itaanza kuchezewa kama Congo, M23 = Rwanda + Uganda

    Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto. aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
  7. K

    Upigaji wa Wachina Katika Mikataba ya SGR Uko Wapi?

    Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya. Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi? Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote. Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
  8. Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

    Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
  9. Kwanini jeshi la Kenya linajiunga na mzozo wa DRC

    Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao na makumi ya wengine wameuawa baada ya mapigano kuzuka kati ya wanajeshi wa Jamhuriya Kidemokrasia yaCongo na kundi la waasi wa M23, katika moja ya migogoro mirefu na mbaya zaidi duniani. Sasa, vikosi vya Kenya vinajiunga na vita kusaidia jeshi la...
  10. Kwa picha: Hali JKIA baada ya marubani wa Kenya Airways kutangaza mgomo

    Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege zingine, lakini wengine wao wamesubiri hadi saa 6 kuhudumiwa.
  11. Marubani 400 wa Kenya Airways wagoma, abiria 10,000 wakwama uwanja wa ndege

    UPDATE: Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya Pamoja ya Majadiliano (CBA) ambayo yalijadiliwa na kuafikiwa mwaka wa 2019. Wanachama wa Kawu ambao ni...
  12. Kenya: Ukame waua Tembo 205 ndani ya miezi 10

    Mbali na Tembo pia kuna Wanyamapori wengine wamekufa kati ya Februari hadi Oktoba 2022, ikiwa ni rekodi mbaya ndani ya miaka 40 iliyopita katika tasnia ya Utalii Nchini humo. Licha ya kuwa mvua zimeanza lakini Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya imetabiri kuwa mvua zitakuwa ni chini ya wastani kwa...
  13. Watanzania msikilizeni Dkt. Wiliam Ruto Rais wa Kenya anayoyasema hapa

    Sikilizeni madini
  14. Kenya kuungana na majeshi mengine ya EA kwenye kufurusha majeshi ya M23, Drc kaskazini.

    It's so complicated, kwa mujibu wa BBC, Majeshi ya M23 yanayodhaniwa kufadhiliwa na Rwanda ambayo ni miongoni mwa nchi za EA, Hili limekaaje , na kwanini EA, Isimkaripie Rwanda kuacha kufadhili waasi hawa ambaye ni mwanachama wao.
  15. N

    Msaada: Kuna magari ya moja kwa moja kutoka Dar - Kisumu, Kenya

    Habari ndugu zangu nauliza gari gani nzuri kutoka dar kwenda kisumu na bei yake au kama mtu anaexperience na safari ya namna hii naomba anielekekeze.
  16. Marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways mbioni kufanya mgomo

    Imedaiwa mpango huo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo Novemba 3, 2022 baada ya mazungumzo ya wiki mbili baina ya pande mbili kutopata muafaka. Marubani wanataka warejeshewe mchango wa mafao yao ya kustaafu ambayo yalisimamishwa wakati wa kipindi cha UVIKO-19, wakati Shirika limeweka...
  17. Kenya yapeleka wanajeshi DRC kupambana na MRC

    Baada ya DRC kujiunga EAC, imebidi mataifa kwenye jumuiya yafanye maamuzi ya kuwasaidia. ======== Kenya's President William Ruto (left) on November 2, 2022 inspects some of vehicles to be used by Kenya Defence Forces soldiers deploying to the DRC as part of the East Africa Community Regional...
  18. L

    Mwanzo mzuri kwenye ushirikiano kati ya China na Kenya katika Serikali mpya

    Ni muda mfupi sasa tangu Rais William Ruto aingie madarakani, na polepole ameanza kuweka mipango ya utekelezaji wa sera atakazozipa kipaumbele katika kipindi chake cha uongozi. Wakati vumbi la uchaguzi sasa limetua, ufuatiliaji hasa kuhusu sera za uchumi na jinsi zitakavyogusa wananchi wa...
  19. Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  20. Kenya: Askari Polisi washtakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Maafisa 12 wa polisi Nchini Kenya wanakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa madai ya kuhusika katika makosa yaliyofanywa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2017, ikiwa ni pamoja na mauaji ya mtoto wa miezi sita. Mwendesha Mashtaka Mkuu anasema uchunguzi unaonyesha kuwa maafisa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…