kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Kilichoanguka Kenya ni "Rocket Separation Ring" au Pete ya Kutenganisha Roketi

    Separation Ring ni kitu gani? Roketi kwa kawaida huundwa kwa stages au vipande, ambavyo hutumika kwa wakati tofauti wa kuirusha kwenye obiti. Sehemu kubwa ya uzito wa roketi ni mafuta na injini, kwa kawaida asilimia 95 ya chombo chote ni sehemu hizo. Kwa kuwa roketi hutumia mafuta kwa haraka...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini kampuni za Kikenya ni nyingi nchini Tanzania kuzidi kampuni za Kitanzania nchini Kenya.

    Sababu ni mchango wa Serikali? Ni jitihada za raia wenyewe?
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mchungaji Ng’ang’a azua gumzo kwa kuuza Mikate na Maandazi kwa bei ya juu, isiyo ya kawaida Kanisani

    Mchungaji James Ng’ang’a, mwanzilishi wa Neno Evangelism Centre, ameendelea kuzua mjadala kwa hatua yake ya hivi karibuni ambayo imewashangaza wengi. Katika ibada ya hivi karibuni, mhubiri huyo wa injili aliamua kuuza mikate na mandazi kwa waumini wake kwa bei ya juu isiyo ya kawaida. Mkate...
  4. JamiiForums Tanzania Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

    Habari zenu wakuu. Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya. Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi. Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
  5. JamiiForums Tanzania Kanisa kenya limegeuka soko

    Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni taifa la wakoloni, hawajawahi kuondoka

    Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpuuza. Wakenya ni wakimbizi kwenye taifa Leo, wanazalisha kwa manufaa ya wakoloni. Wakenya ni manamba kwenye nchi za wakoloni na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lack of professionalism among the Ferry Officers

    Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho huenda kukawa na Maandamano ya Vijana Kenya kupinga Utekaji, wameandaa wenyewe bila Wanasiasa.Njoo Tanzania tunamtafuta mtu wa kutuandamania

    Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu. Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
  10. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

    Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima. Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya. Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona Kenya wanachama wa ODM hawajawahi taka Raila Odinga aachie madaraka ODM pamoja na kuunga mkono Serikali ya Uhuru Kenyata na sasa Ruto pia

    Raial Odinga amkeuwa kiongozi wa chama chake miaka na miaka na hadi juzi kamkabidhi Gava wa Kisumu ili aongoze ODM kwa sababu yeye anagomvania cgeo kule AU, kumbuka cheo cha Raial hakigombaniwi hakipigiwi kura. Sasa sipati picha ingekuwa ndio Tanzania. Sasa basi Raial mbali ya kuwa kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Je Lisu alitaka Kuhongwa nyumbani kwakeTegeta? au alipenyezewa taarifa za kutaka kuhongwa na Abdul?

    Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje. alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV...
  13. JamiiForums Tanzania Gissima Nyamo-Hanga: Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika . Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara...
  14. B

    JamiiForums Tanzania BAMBURI CEMENT YA KENYA YANUNULIWA NA MTANZANIA.

    Mfanyabiashara wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya KSh 23.2 bilioni (TZS bilioni 424.31). Hatua hii inafanya Amsons kuwa mmiliki mkuu wa kampuni hiyo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mutual Fund za Kenya zinatoa faida 25%?

    Nimeshangaa sana watu wanakula faida 25% kwa mwaka tofauti na hapa bongo kubwa ni 15% huku wengi wakiishia 12% Kulikoni wadau,
  16. JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

    Wanabodi heshima mbele. Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya. Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
  18. JamiiForums Tanzania List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kwa story za kuchangamsha genge tunaikaribia Kenya lakini kiuhalisia tumepigwa kanzu, Tulichowazidi labda ni muziki na mpira

    Balance of trade - Thamani ya pesa ya bidhaa zinazonunuliwa kutoka Kenya ni kubwa kuliko bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Kwa upeo mdogo wa kielimu watanzania wengi tumekomalia kwenye kuwauzia Mahindi lakini ukichunguza vizuri hapa kwetu kuna bidhaa nyingi sana za Kenya kuanzia kiwi...
  20. JamiiForums Tanzania Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

    Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa. Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo. Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe. Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…