kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Kenya asema biashara na China imeboresha maisha ya Waafrika

    Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika. Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

    Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  4. and 100 others

    JamiiForums Tanzania Karibuni Namibia itakuwa kama Kenya, Sudan, Nigeria, South Africa, DRC, Somalia, Ethiopia n.k

    Hizo nchi inajulikana wananchi wao hawaogopi vyombo vya usalama, wapo tayari kupambana hata na wanajeshi au polisi pale wanapoona hawatendewi haki. Kenya tumetoka shuhudia juzi hapa vijana wadogo wanaingia bungeni na kuchoma bunge. Nilichogundua kumbe serikali nyingi za Africa ndizo chanzo cha...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania G4S Kenya kupunguza wafanyakazi angalau 400 kutokana na hali ngumu kiuchumi

    G4S Kenya imetangaza kuwa itapunguza angalau wafanyakazi 400 kufuatia kupungua kwa biashara kunakosababishwa na athari za changamoto ngumu za kiuchumi, hali ambayo imesababisha kupungua kwa mapato na gharama kubwa za kuendesha biashara. Barua kutoka G4S Kenya kwa Wizara ya Kazi iliyoonekana na...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yachelewesha marejesho ya Mkopo wa SGR, yapigwa faini na China, Tsh. Bilioni 34

    Wakenya watalazimika kulipa zaidi ya KSh 1.7 Bilioni kama faini kwa kuchelewesha kulipa mkopo wa reli ya SGR kutoka kwa Benki ya Exim ya China katika mwaka wa fedha wa 2023/24. Hii ni kutokana na mkopo wa KSh 167.5 Bilioni ambao Shirika la Kenya Railways limeshindwa kulipa, ukichukua asilimia...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wakamatwa Kenya wakiuza Pembe za Ndovu

    Maafisa wa Huduma ya Wanyamapori ya Kenya (KWS) huko Mombasa wamewakamata raia wawili wa Tanzania kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu zenye thamani ya Ksh milioni 3.3. (Takriban Tsh. Milioni 56) Katika operesheni ya pamoja na maafisa wa Kituo cha Polisi cha Mtwapa...
  8. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Mitihani Kidato cha 4: Kenya Vs Tanzania

    Ukiziangalia tu hizi Timetable utajua ni kwa kiasi gani mitaala yetu ilivyo famba. Bado tuna safari ndefu sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Tanzania ina watu wengi kuliko Kenya, ila wanafunzi wanaohitimu Tanzania ni wachache kuliko Kenya. Sababu ni nini?

    Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024 Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731. Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko. Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni

    Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba za simu zifuatavyo ni baadhi ya zinazotumiwa na matapeli, +254794812691 (Alex Kairi), +254102269805...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya ampigia simu Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
  12. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaripotiwa kufungia mtandao wa Telegram ili kuzuia udanganyifu kwenye mitihani

    Shirika la Netblocks, hivi karibuni limeripoti kuwa, kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezuia upatikanaji wa app ya Telegram kwa wateja wake walioko nchini Kenya. Netblock imedokeza kuwa Safaricom ambayo ndio kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya – imezuia upatikanaji wa Telegram nchini...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kenya asilimia 80 ya mijadala yao ni Siasa, Tanzania asilimia 96 ni mijadala ya Yanga na Simba.

    Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya. Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Profesa Abraham Kithure Kindiki aapishwa kuwa Naibu Rais Kenya

    Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya. Kindiki ameapishwa na Msajili wa Mahakama nchini Kenya, Winfrida Mokaya mbele ya Jaji Mkuu Martha Koome, katika hafla inayoandaliwa kwenye jumba la Mikutano la KICC jijini Nairobi. Kindiki anachukua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Leo anaapishwa Proffesor of Law Abraham Kithure Kindiki kuwa Naibu wa Raisi 3 wa Kenya

    Hii ni baada ya Gachagua kushindwa mahakamani, Kenya wana sheria na katiba bora ya kuigwa mfano.
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna magashagwa mengi kuliko Kenya, anakosekana wa kuyaondoa tu.

    Kiongozi wa kitaifa hapaswi kufikiria na kutenda kikabila, kijimbo, kidini, kijinsia au kikanda maana watu wote (makabila, dini, majimbo, wilaya, mikoa, jinsia, kanda) kwenye taifa wanamtegemea. Unapomsikia na kumuona kiongozi wa nchi anafikiria, anatenda, anaagiza na kupeleka maendeleo kwa...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu rais mteule wa Kenya Kindiki Kithure kuapishwa kesho. KICC

    #BREAKING: Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC. Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama ya Kuu ya Kerugoya, Kaunti ya Kirinyaga kuzuia kuapishwa kwa Prof. Kithure Kindiki kama Naibu Rais...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
Back
Top Bottom