kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inspekta Jenerali wa polisi Kenya ameagiza kukamatwa kwa afisa aliyempiga risasi kichwani mchuuzi wa barakoa jijini Nairobi

    Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) imepokea kwa wasiwasi mkubwa tukio la kupigwa risasi kwa raia asiye na silaha na askari wa polisi aliyekuwa akitumia bunduki ya kudhibiti ghasia, tukio lililotokea katika eneo la biashara kuu jijini Nairobi (CBD) tarehe 17 Juni 2025. Kufuatia tukio hilo, Inspekta...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye maandamano ya GenZ wa kenya kuna matukio ya wizi pia, Duka la Smoothers limeporwa

    Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi aliyekamatwa asema walipewa maagizo kumtia adabu Ojwang'

    KONSTABO James Mukhwana, ambaye kwa sasa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang’, hatimaye amevunja ukimya na kufichua kwa kina kilichotokea usiku wa Juni 7, 2025, akiwa rumande katika Kituo Kikuu cha Polisi Maelezo ya kina, ambayo Citizen TV...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini

    Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert Ojwang’, ambaye alikamatwa kufuatia malalamiko ya kashfa yanayodaiwa kuwasilishwa na afisa huyo wa juu...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaosema Demokrasia ya kenya ipo miaka 50 mbele? ndo hii ama kuna ingine?

    https://www.tiktok.com/@254show/video/7515130392211410194?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ufisadi: Mali za aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado zenye thamani ya takriban Bilioni 8, kupigwa mnada

    Mali zenye thamani ya zaidi ya Tsh.8.5 bilioni (sawa na Ksh.428 milioni) zinazohusishwa na aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, na washirika wake zinatarajiwa kuuzwa kwa mnada tarehe 23 mwezi huu. Shirika la Urejeshaji Mali (Assets Recovery Agency) na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifi cha Ojwang: Gen Z wa Kenya waandamana

    Maandamano yamezidi kushika kasi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, siku ya Alhamisi, ambapo magari yalichomwa moto na polisi walifyatua mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa na hasira kufuatia kifo cha mwanablogu wa kisiasa aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi wiki iliyopita...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano yafanyika Nairobi huku kizazi cha Gen Z kikijaribu kumzuia Waziri Mbadi kuwasilisha bajeti ya mwaka 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Wn-0pGD3hwg Mamia ya waandamanaji wamekusanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi na miji mingine nchini Kenya wakipinga mipango ya serikali kuhusu bajeti mpya inayotarajiwa kuwasilishwa rasmi bungeni siku ya Alhamisi na Waziri wa Fedha John Mbadi...
  10. JamiiForums Tanzania Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia

    Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia. Kikubwa ni kwamba Kenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania. Lakini Tanzania na Kenya ni watu walewale waliotawaliwa na makoloni tofauti. Kuna maelewano sasa kwa Raisi Ruto wa Kenya na Odinga...
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inspekta Jenerali aomba radhi kwa polisi kusema uongo juu ya kifo cha Ojwang'. Halafu kuna Polisi wetu Tanzania!

    Inspekta Generali kwa niaba ya Jeshi la Polisi Kenya ameomba radhi kuhusu ripoti iliyotolewa na polis kuwa Ojwang' alikufa baada ya kujigonga mwenyewe ukutani alipokuwa gerezeni Asema ripoti hiyo ilikuwa ya uongo, kifo chake hakikusababishwa na kujigonga mwenyewe ukutani na kwamba anaomba radhi...
  13. JamiiForums Tanzania Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wa Kenya wakumbatia teknolojia ya kisasa ili kuongeza mavuno yao

    Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa. "Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kenya memez special tread

  16. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Kenya aiba vifaa vya simu

    Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana Alie Kenya Tufanye Dili.

    Hello wakuu Africa Mashariki na Kati, Natafuta Kijana mwenye Hasira kali na maisha, kuna jambo/deal nataka tuifanye hatutatoka mikono mitupu. Nicheki DM tupange tunaanzia wapi.
  18. JamiiForums Tanzania Balaa na Nusu: Kenya wana Kenyans on Twitter (X) ila Tanzania imezaliwa Tanzanians on Instagram (IG). Wanashambulia kama Nyuki

    Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter. Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi...
  19. JamiiForums Tanzania Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

    Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo. Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Lissu, Lema, Mange na Wanaharakati wa Kenya: Wanapigania haki au wanajenga CV kwa Wazungu?

    Kwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida. Wana uraia wa mataifa mengine, wanaishi kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, huku wakitumia majukwaa ya mitandao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…