kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia jangwa lake kwa shughuli za utalii

    Ni muendelezo wa kupambana na kubadilisha kila hali kwenye hii nchi na kuifanya fursa. The Chalbi Desert dune belts For many years, the mention of Marsabit County conjured up images of a forsaken place full of hostile residents, banditry, cattle rustling and poor infrastructure and...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to the world: kilimo biashara

    The resilience of Kenyans is just on another level, sit back and enjoy the show... Kenyan flowers now in Ghana...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - Kenya locally made helicopters

    Ok sawa... since some people have insisted, I also met this beautiful locally assembled chopper. Kenya kuna mambo! All you need to do is #TembeaTujengeKenya By the way, the airstrip in Nanyuki is being extended. Asanteni sana watu wa Laikipia!!!! #TembeaKenya #TTK #IsuzuDelivers #ShellFuelSave...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa na bidii....Kenya Tourism Board nominated for excellence in policy making

    The Kenya Tourism Board (KTB) has been nominated for the 2020 Africa Tourism Leadership Awards ‘Leading in Progressive Policies’ category by Africa Tourism Partners. The other shortlisted bodies in this category are the Rwanda Tourism Development Board and Egypt for their progressive and...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaanza kutoa msaada kwa Mozambique baada ya watu 300,000 kuyahama makazi yako kufuatia mashambulio ya kigaidi

    Kenya imetoa msaada wa vyakula na madawa kwa zaidi ya watu 300,000 Mozambique waliofurushwa kutokana na vita vya kigaidi vya kundi la Ansar al-Sunna. Anyway kila mtu akichangia watapata usaidizi kwenye janga hili
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

    Kenya vs Ethiopia Kenya vs Tanzania Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
  7. JamiiForums Tanzania Kenya yaitaka Uingereza iwachukulie hatua polisi wake 'waliomtesa Mkenya'

    Kenya imeiandikia Uingereza ikidai haki juu ya ukatili dhidi ya raia wa Kenya unaodaiwa kufanywa na maafisa wa polisi katika eneo la Colchester, Essex nchini humo. Tukio la ukatili huo lilichukuliwa kwenye picha ya video ambayo ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuibua hasira na vilevile...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity ya Kenya yatajwa ndani ya mabenki kumi bora Afrika

    Huku wenye wivu wakiendelea kuuguza maumivu baada ya taarifa za KCB kupata faida zaidi ya ukijumuisha mabenki yao yote, haya hii nyingine ya kuendelea kutonesha.....ni zamu ya Equity bank sasa. ===== Equity, with a balance sheet size worth Kshs. 673.7 billion at the end of 2019, has been...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GTC (Global Trade Center) Nairobi Kenya

    In the center of East AFrica rises a global center
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shoddy Chinese first-class roads in Kenya to be scrutinised

    SHODDY JOB Road agencies criticised for substandard, stalled projects Senators want audit carried out on all works implemented by Jubilee administration In Summary • Senators have called for an audit of all the infrastructure projects undertaken by President Uhuru Kenyatta’s Jubilee...
  11. JamiiForums Tanzania BBC, habari za moto Mlima Kilimanjaro anaripoti mwandishi kutoka Kenya, ni sahihi?

    Nilikuwa nafuatilia habari za BBC London katika television. Cha kushangaza habari ya mlima Kilimanjaro na harakati za nchi kuzima moto katika mlima huo mkubwa barani Afrika ameripoti mwandishi Emmanuel Igunza kutoka nchini Kenya. Nimejiuliza sana kwa nini habari za Tanzania aripoti mwandishi...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya debt to GDP ratio has officially crossed a 70% mark

    Kenya’s debt races past Ksh.7 trillion By Kepha Muiruri For Citizen Digital Published on: October 12, 2020 10:00 (EAT) File Photo of The National Treasury In Summary The roughly Ksh. 1 trillion addition in the public debt registry is largely attributable to an unrestrained borrowing...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya set to co-host Ksh542B Global Summit

    Kenya and the United Kingdom is set to co-host a landmark global education summit slated for mid-2021 which aimed at raising money for vulnerable countries. President Uhuru Kenyatta and Prime Minister Boris Johnson made the announcement Monday, October 12, with the summit set to take place in...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya named among 5 start-up hubs to watch – beyond Silicon Valley - worldwide

    5 start-up hubs to watch – beyond Silicon Valley Tel Aviv: Israel has the highest number of start-ups per capita in the world Start-ups were once synonymous with Silicon Valley or London - but that's no longer the case. Here we look at five...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza na Kenya kukusanya $ 5bn kufadhili elimu baada ya Covid-19

    Waziri Mkuu wa Uingereza na Boris Johnson na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wanatarajiwa kuzindua mpango utakaosaidia kukusanyadola bilioni tano sawa na (£3.8bn) kwa ajili ya kuwasomesha watoto kutoka jamii masikini duniani. Idadi ya wanafunzi walioacha shule imeongezeka zaidi wakati wa janga la...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njama ya wanaokwepa kulipa ushuru Kenya kupitia Namanga kutoka bandari za Tazania watibuliwa

    The country is losing millions of shillings daily in a tax evasion scheme between Kenya Revenue Authorities employees and crafty importers. And as Sam Ogina reports importers and KRA officials at the Namanga border are now using fake import declaration forms to fraudulently allow trucks from...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itaweka rekodi ya kidunia Leo

    Jumatatu ya tarehe 12 ndio siku ambayo shule zitafunguliwa ktk nchi ya Kenya bado wananchi waa taifa ilo wakiwa ktk wingu zito la ugonjwa wa corona. Ikiwa shule zinafunguliwa leo bado shule nyingi zina hali mbayaaa sana zipo ambazo hazina maji tiririka kwa ajili ya watoto kunawa na zipo ambazo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kuiombea nchi ya Kenya Mungu aiepushie Corona

    Rais Magufuli ameshiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kitaifa yaliyofanyika nchini Kenya kuliombea taifa hilo Mungu aliepushie ugonjwa wa Corona. Maombezi hayo yaliyofanyika Ikulu ya Kenya yalishirikisha viongozi wote wakuu wa nchi hiyo na Rais Magufuli alishiriki akiwa nchini Tanzania...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imetajwa rasmi kimataifa kama 'failed state'

    Kutokana na umaskini uliotopea ambao umepelekea Kenya kuwa na matatizo sugu miaka nenda miaka rudi kama njaa, uhaba mkubwa wa maji, slums, ukosefu wa ajira, gharama ghali za maisha, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa usalama na utulivu, mauaji ya mara kwa mara hasa wakati wa uchaguzi, ugaidi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

    Hapa katibu muenezi wa CCM anazungumza na kuachia nondo, sijui nini huwaingia Watanzania ghafla mnabadilisha na kuanza tena kuponda umuhimu wa katiba nzuri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…