Kenya: Mama wa miaka 42 ataka kuolewa na mtoto wa miaka 14

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Mwanamke mmoja mkazi wa Migoro Kenya amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtoto wa miaka 14 ambaye yuko darasa la nane

Mama huyo ambaye alitaka kuolewa na kijana huyo amekutwa na mtoto huyo nyumbani kwake. Tendo hilo lilifahamika baada ya polisi kupata taarifa kwa raia waliochoshwa na jambo hilo

Aidha wazazi wa mtoto huyo walionya mara kadhaa kuhusu mahusiano hayo lakini mama huyo aliendelea kuwa na mahusiano na mtoto huyo

Kwa Sheria za Makosa ya Kujamiiana ya Kenya, mtu yoyote atakayetenda kosa la kumnajisi mtoto wa umri wa miaka 12 hadi 15 anaweza kupewa adhabu ya kufungwa jela kwa kipindi kisichopungua miaka 20

===

A 42-year-old woman accused of defiling a Class 8 pupil has been arrested.

The suspect was found with the 14-year-old boy at her home in Nyamaraga, Suna West Sub County on Saturday evening.

Area Assistant Chief Evance Nyarube said he got a report from irate residents who complained about her alleged relationship with the teenager.

According to him, the boy’s parents had repeatedly warned the two against having a relationship but their demands fell on deaf ears.

Mr. Nyarube said investigations established that the woman hinted that she intended to marry the teenager.

He reiterated that defilement is a crime stating that the suspect will face the law.

She is expected to appear before a Migori court on Monday.

“A person who commits an offense of defilement with a child between the age of 12 and 15 years is liable upon conviction to imprisonment for a term of not less than 20 years,” the Sexual Offenses Act reads.

CITIZEN TV
 
Huyo wa miaka siyo mama bana bado ni bint, analipa mpaka chenji inabaki. Ila muambie akome kufuatilia Serengeti boyz.
 
Kushinda nchi ya Wachawi nyie
Kwamba si tunawaroga ati?.kunya mna drama,mda utaongea
Screenshot_20200831-175359.jpg
 
Wazimu ni nyie mnaorogana.Sisi tupo salama sana.Msije mkaturoga jamani
Maneno ya ugwadu wa kugegeduliwa nadhani mda ujagegeduliwa kutokana na huko kwenu kujaa Corona ndio maana mda mwengine mpaka mnaingia barabarani kudai mkuyenge . Haya vitu vyoote vya upuuzi vinatokea huko hii ni ishara jinsi gani mulivyo wapuuzi ndio maana hata viongozi wenu nao wana mamuzi ya kipuuzi wanatoa tamko leo yakipita masaa 48 tu wanaomba suluhu
 
And who said we need any advice from low IQ ccm puppet.Pambaneni na half zenu kwanza.Yenu yamewashinda ya wenzie mtawezana kweli
 
And who said we need any advice from low IQ ccm puppet.Pambaneni na half zenu kwanza.Yenu yamewashinda ya wenzie mtawezana kweli
Umekula maana wachina wajawaletea bado ule mchele wenu wa plastic , njoo bongo nikufuge mi ule mbeya wa nazi
 
Back
Top Bottom