kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya clears direct debt to the UK

    https://www.businessdailyafrica.com/bd/economy/nairobi-clears-uk-debt-for-first-time-since-60s-3019122
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifahamu kampuni ya Rivatex Kenya

    Hii kampuni inaunda nguo high quality. Tazama
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zao la parachichi laendelea kuwa dhahabu Kenya

    Hongera kwa wadau wote waliohusika kutafuta masoko.... The sale and export of avocado is the main income stream for the agricultural company. FILE PHOTO | NMG Kenya’s avocado exports jumped 15 percent to 68,000 tonnes over the 12 months to October, fetching the country Sh14 billion. Kenya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askofu afariki baada ya kurushiwa mabomu ya kutoa machozi na polisi Kenya

    Bishop, Rev Stephen Ng'anga who hosted the Deputy President William Ruto in Kenol Muranga county in October has died. According to the church leadership the Bishop died from Pneumonia. The conditioned was triggered and worsened after the bishop inhaled tear gas fumes when the police were...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili Kubwa - bunduki zilizotengenezewa hapa Kenya zinatumika Somalia

  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yajenga Hospitali yenye vitanda 100 ndani ya siku 90 - yajayo yanaafurahisha

    Jameni kwa mwendo huu sijui tutaibukia wapi maana kila nikifumba na kufumbua macho nakumbana na bonge la muundo mbinu unazinduliwa, imekuwa vigumu kufuatilia kipi kinajengwa wapi, nchi yote mambo yanatamalaki, sema vyombo vyetu vya habari vinatuangusha sana, hawakai waandike mazuri ya nchi, kila...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Each and every country in the the World sympathises with Kenya on debt trap, the situation is dire

    According to the Financial Times, China has transferred nearly $150 billion to governments and state-owned firms in Africa alone to secure commodity supplies and fund its global network of infrastructure projects, President Xi Jinping’s signature Belt and Road Initiative. (Reuters image)...
  8. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

    Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya and The UK join in remembering fallen Kenyan heroes in World War 2

    Let us take time to remember those who died protecting the world from the tyrannical regime of Adolf Hitler ===== IN MEMORY OF FALLEN SOLDIERS Kenyan soldiers who died in the second world war were earlier today commemorated at the commonwealth war graves in Nairobi. However, some of the...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

    Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

    Wakuu, Hili ni bandiko la swali ili kupata uelewa mpana kuhusiana na taswira mpya wanasiasa wa Tanzania na washirika wao wanavyoonesha katika siku za hivi karibuni. Je, kuna uhusiano gani wa ziada nje ya utaratibu wa kawaida kwa nchi tajwa hapo juu na shirika mojawapo la haki za binadamu na...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya voted as top tourist destination

    Kenya has been ranked as Africa’s leading tourist destination in 2020 by the World Travel Awards (WTA). The results were announced virtually from England on Monday during the 27th WTA finals in an event that coincided with the Africa Winners Day. Kenya emerged top for its tantalising cocktail...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inajengwa usiku na mchana - southern bypass to container depot link dual carriage

    Aisee hii bara bara hata hatukujua inajengwa -
  14. JamiiForums Tanzania Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

    Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO. Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Kenya: Godbless Lema aachiwa kutoka kituo cha Polisi Kajiado. Apatiwa hifadhi nchini Kenya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana. ======= Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

    Nimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule...
  17. JamiiForums Tanzania Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Katika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha Mwanasiasa wa Upinzani, Godbless Lema au familia yake kwenye mateso ya kisiasa au uwezekano wa kufungwa...
  18. JamiiForums Tanzania Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Olkaria geothermal power plants in Kenya to be upgraded

    The Kenya Electricity Generating Company (KenGen) intends to undertake upgrading of two Olkaria geothermal power plants particularly the Olkaria IV and Olkaria IAU 140MW in a bid to increase the power output and improve steam efficiency. The company has so far applied for financing from the KfW...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya GSU parade - fire

    Hiki kitengo cha GSU ni moto, kwenye vita vya fire arm to firearm, hiki kikosi kinaweza kusambaratisha TPDF vibaya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…