Ifahamu kampuni ya Rivatex Kenya

Hongera na shukrani za dhati kwa walioamsha hii kampuni, jameni hii kampuni kitambo tukiwa watoto kwenye mji wa Eldoret ndio ilitulea, hiyo pamoja na ile ya Rai Ply ndio zilikua uti wa mgongo wa huo mji, nilihuzunika sana kipindi ilianza kuyumba.
 
Back
Top Bottom