Dah ila Rwanda wale watu wanajituma, wana rais asiye mzembe, bado wanaongoza kwenye hili, ndio tatizo haupewi vyote aidha upewe ubongo na kunyimwa raslimali au upewe raslimali unyimwe ubongo.
Hata hivyo Kenya inazidi kuchana mbuga tena kwa kasi ya ajabu, majirani zetu wengine tumewapiga double...