kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Masinki

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

    Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO. Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kenya: Godbless Lema aachiwa kutoka kituo cha Polisi Kajiado. Apatiwa hifadhi nchini Kenya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana. ======= Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

    Nimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Katika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha Mwanasiasa wa Upinzani, Godbless Lema au familia yake kwenye mateso ya kisiasa au uwezekano wa kufungwa...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
  6. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Olkaria geothermal power plants in Kenya to be upgraded

    The Kenya Electricity Generating Company (KenGen) intends to undertake upgrading of two Olkaria geothermal power plants particularly the Olkaria IV and Olkaria IAU 140MW in a bid to increase the power output and improve steam efficiency. The company has so far applied for financing from the KfW...
  7. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya GSU parade - fire

    Hiki kitengo cha GSU ni moto, kwenye vita vya fire arm to firearm, hiki kikosi kinaweza kusambaratisha TPDF vibaya.
  8. Consultant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Corona imegeuzwa mradi wa kupiga pesa Kenya?

    Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19. Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000 mwezi wa tano tu mwaka huu Na kuonyesha msisitizo, Rais Kenyatta ametangaza night curfew upya na...
  9. Don YF

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UK to ink landmark trade deal with Kenya

    UK to ink landmark trade deal with Kenya the-star.co.ke Nov 3, 2020 4:48 PM Once signed, UK-Kenya Free Trade Agreement will guarantee tariff-free access. The UK has moved a step closer to signing a sixth bilateral trade deal in Africa today, which will allow British and Kenyan companies to...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe Uliskia wapi amehojiwa katika station ya Kenya

  11. YEHODAYA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ripoti ya BBI ya Kenya jinsi ya kumaliza ukabila naiweka Watanzania tusome Tuwashauri hapa

    Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya may give the world the first vaccine to protect against gonorrhoea

    Kenya may give the world the first vaccine to protect against gonorrhoea, which causes about 87 million infections annually. Scientists at the Kenya Medical Research Institute (Kemri) and the University of Oxford, UK, plan to recruit 50 Kenyans, aged between 18 and 25 years into a six-month...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Jumla ya watu 1,013 wafa kwa covid19

    Watu 17 wamathibitishwa kufariki kwa #COVID19 na kufanya idadi ya waliofariki kufikia 1013 nchini humo Wizara ya Afya ya Kenya imesema watu 685 wamekutwa na maambukizi ya #CoronaVirus na kufanya walioambukizwa kufikia 55,877 Watu 1,271 bado wapo hospitalini wakipatiwa matibabu huku wengine...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How to reduce or eliminate your rising power bill In Kenya

    It’s no secret that the energy costs in Kenya continue to rise to unpalatable levels. Commercial and residential electricity rates (the amount you pay per kilowatt-hour, or /kWh) have constantly risen across the nation over the last 10 years. This trend is unlikely to be disrupted in the...
  15. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania While Kenya keeps sleeping, Zambia clinches deal to defer Chinese debt

    Zambia clinches deal to defer Chinese debt THURSDAY OCTOBER 29 2020 Zambian President Edgar Lungu. FILE PHOTO | AFP Summary The move to defer debt comes three months after Zambia's President Edgar Lungu asked his Chinese counterpart Xi Jinping for debt relief due to the economic impact of the...
  16. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya in total darkness

  17. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa: 17 year old boy in Kenya starts Radio station in abandoned kiosk.

  18. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili Kubwa - Tractors made in Kenya

    Shujaa Tractors ...karibuni sana
  19. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CCM mnajifunza lolote toka Kenya tunapoelekea kwenye Uchaguzi 2020?

    Jirani zetu wa Kenya jana wakiongozwa na Rais Uhuru Mwigai Kenyatta wamezindua report yao ya BBI(Building Bridges Initiative)kwa kusudi la kuwaunganisha Wakenya na kuondoa Ubaguzi, ukabila na vurugu za Kisiasa hasa wakti wa vipindi vya Uchaguzi. Wakati hayo yakiendelea hapo Kenya, hapa kwetu...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Forget South African ladies , Kenya has the most beautiful women in Africa here photos to prove it - opinion

    2020-10-25 12:04:40 Even Trevor Noah said he was willing to put a stake that South Africa has the most beautiful woman in the world. But now that he is in New York I wonder is he still share the same opinion. We don't need to look far in the west to find a different taste of beautiful woman...
Back
Top Bottom