kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Mafaili ya FinCEN: Benki za Kenya na watu binafsi wafanya miamala haramu yenye thamani ya Kshs trilioni 6

    Taasisi za Kikenya, makampuni na watu binafsi ni sehemu ya dola za kimarekani Trilioni 2 kwenye miamala inayotiliwa shaka yakibainika kwenye uchunguzi uliochukua mwaka mmoja. Walau kampuni 53 za Kikenya na watu binafsi wameonekana kwenye rekodi za benki zilizovuja zilizowasilishwa idara ya...
  2. Kenya Affordable Housing Progress

    Construction The new housing units built by GOK along park road ,ngara area, kiambu county,machakos county, kisumu county are ready for occupation. Park road project having 1800 units while the Ngara project has 1400 units. All units in these areas will be allocated by the end of the year...
  3. Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

    Huwa nashangaa pale ambapo nyuzi karibu zote za Kenya section zimeanzishwa na Watanzania ilhali nyuzi za mapenzi section au nyuzi zingine za Kitanzania zimeanzishwa na Watanzania wenyewe. Hii inaashiria kwamba Kenya ni babu la Watanzania ndio maana hawawezi kuishi bila kuwaza Kenya na kuposti...
  4. Tanzania's wolf warrior diplomacy continues to win against Kenya

    Tanzania's wolf warrior diplomacy continues to win against Kenya Tanzania continues to restrict free movement of labour across its borders In Summary • In the recent case, Tanzania on Wednesday lifted a ban on Kenyan airlines, including national career Kenya Airways. • This was a day after...
  5. Kenya to Build 10 Science Parks

    The government has announced that it plans to construct 10 science and technology industrial parks for scholars, innovators and enthusiasts. Speaking at the Dedan Kimathi University of Science and Technology in Nyeri County, State Department for University Education and Research PS Simon...
  6. Latest Fifa rankings: Kenya Harambee stars moves up, while Uganda and Tanzania’s retained positions

    The latest classification has been released six months after the previous due to the coronavirus pandemic which forced suspension of soccer actions Kenya moved up by a position while Uganda and Tanzania’s retained positions in the latest Fifa rankings. Harambee Stars now ranked106 from the...
  7. KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

    KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania) KRA: Kenya Revenue Authority TRA: Tanzania Revenue Authority Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020) KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh) TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh) Sababu ni hizi hapa. Matumizi duni ya teknologia (ICT)...
  8. Kenya toughens sea warfare team with more marine commandos

    Members of the Marine Commandos during a training by the Kenya Defence Forces (KDF) as part of reinforcement for the Kenya Navy Special Forces. What you need to know: The commandos undertook a first-of-its-kind course which covered operational aspects including amphibious operations, land...
  9. Kenya: Upperhill CBD district welcomes new entrants to rival westlands CBD district

    316 Upper Hill Chambers (Completed) 316 Upper Hill Chambers is a 104-metre, 26-storey tower located on 2nd Ngong Avenue in Upper Hill, about 2km from the old Nairobi central business district . The newly-built skyscraper has joined the exclusive list of tallest buildings in Kenya, ranking...
  10. Raia wa Tanzania waruhusiwa kuingia nchini Kenya bila kukaa karantini

    Kenya imetoa orodha ya nchi 147 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini Katika orodha ya sasa, Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi hizo ambapo katika orodha ya awali Tanzania haikuwepo Awali nchi hiyo ilikuwa inalazimisha raia wanaotoka nchi zenye hatari...
  11. Kenya: Familia yalazimika kutumia trekta kusafirisha maiti sababu ya barabara mbovu

    Familia ya Kirui ililazimika kutumia trekta kuusafirisha mwili wa mpendwa wao kutoka hifadhi ya maiti kutokana na hali mbovu ya barabara iliyosababishwa na mvua kubwa. Mwili huo ulikuwa unasafirishwa hadi kijiji cha Kapsita kwa ajili ya mazishi jinsi Citizen TV ilivyoripoti Ijumaa, Septemba 11...
  12. Watanzania wakamatwa na vilipuzi wakiviingiza Kenya kimagendo

    Haijajulikana nia yao ilikua nini ila ndio hivyo majirani inatubidi tuwe makini sana dhidi yenu watu. ======= The Anti-Terror Police Unit (ATPU) is holding three people among them Tanzania nationals who were nabbed with 1,000 pieces of explosive detonators in Taita Taveta. The suspects were...
  13. Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

    Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
  14. Wachina wachangamkia parachichi kutoka Kenya, walivyo wengi lile ni soko litakalotutoa kimasomaso

    Mapingamizi yote yameondolewa na tayari kontena zimeanza kutua Uchina, ni mwendo wa kukusanya hela, wakulima wetu mpoooo!!! Kenya has started export of frozen avocado to China, yielding to pressure on conditions that Beijing had issued before they allow in imports of the fruit from the country...
  15. Kuna biashara zimedoda kwa sababu ya ugomvi wetu na nchi jirani, hasa Kenya

    Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari. Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya...
  16. Huku Watanzania wakichekelea changamoto za SGR ya Kenya, TAZARA waliyopewa kama msaada miaka zaidi ya 40 haijawapa faida yoyote

    Imekua desturi kwa baadhi ya Watanzania kusubiria kama fisi kila tangazo hasi la SGR ya Kenya, huwapa muhemko fulani hivi wa kuja kupost humu kwa raha, huku wakisahau TAZARA waliyojengewa na Mchina kama msaada imetimiza miaka zaidi ya 40 bila kuwapa faida yoyote. -------------------------...
  17. Extreme sports you didn't know existed in Kenya

    A photo of a person Fly-boarding FILE Mombasa is best known for its white sandy beaches,warm weather and amazing facilities to enjoy vacations. However, unknown to many there are other fun activities that can be enjoyed apart from swimming or normal boat rides. In this article, Kenyans.co.ke...
  18. Kenya yazidi kunufaika pakubwa na zao la parachichi kwenda Ulaya

    Tuendelee kutia bidii bandugu.... Horticulture earnings in the first eight months of the year rose to Sh101 billion from Sh97 billion in similar period last year, as more countries opened up their economies on easing of Covid-19 restrictions. The earnings were boosted by higher demand of...
  19. Kenya Meat Commision Transfered from Agriculture Ministry to Ministry of Defence (KDF)

    Wakuu, Hawa wajinga wa kenya sasa wamepitiliza ujuha wao. Hivi kdf watafanyia nini mifugo? Wameshidwa kuchija alshabaab sasa wapige ngombe na mbuzi risasi ama nini? ======= Uhuru transfers Kenya Meat Commission to Ministry of Defence Agriculture Cabinet Secretary Peter Munya has directed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…