kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imekuwa kimbilio la Wakimbizi kwa muda mrefu

    Wale malazy wanaopenda kuropokwa kwamba Wakenya wana roho mbaya na kwamba hatusaidii majirani, nataka leo mtazame hapa muone jinsi nchi yetu ndio kimbilio la wakimbizi kutoka Sudan Kusini na Somalia. Kenya na Uganda ndio nchi zinazopokea wakimbizi wengi Africa. Watanzania nyie ndio mna roho...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata njia mpya ya kudhibiti rushwa kwa Askari Polisi , nchi zingine ziige

  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - Kenya electric car company - opibus

  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wanapata first consignment ya covid 19 vaccine 2/3/2021

    Hii ni kwa mujibu wa mahojiano na Mkuu wa kikosi kazi cha kupambana na covid yaliyofanyiika leo na Citizen Tv jioni hii. Priority ya kwanza ni health workers. Priority ya pili ni wafanyakazi wanashughulika na makundi ya watu kama polisi, walimu etc. Na Priority ya tatu ni watu wenye pre...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How do solar panels work on rainy and cloudy days in Kenya?

    Common questions prospective clients ask before making the switch to solar in Kenya: Can solar panels work without direct sunlight? Will the solar panels work on cloudy days? Will the solar panels work on rainy days? Do solar panels work at night? Although solar technology isn’t new, many...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kurusha vyombo viwili zaidi angani kutokea kituo cha Malindi

    Ikumbukwe tayari tuna chombo angani, na sasa tupo kwenye maandalizi ya kurusha viwili zaidi. Vyombo angani husaidia sana kwenye kudadavua ardhi kwenye nchi na kubaini uwepo wa raslimali na mengineyo. The Kenya Space Agency (KSA) is set to launch two mini-rockets from the Malindi Space Centre...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya. Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IXAfrica breaks ground on data center campus in Nairobi, Kenya

    IXAfrica has broken ground on an 18MW data center in Nairobi, Kenya. Speaking during the ground breaking ceremony, IXAfrica chairman Guy Willner said that the data center will be IXAfrica’s first after years of delays and is on track to be East Africa’s largest ‘hyperscale-ready’ campus. The...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Simbachawene: Watanzania mnaokuja Kenya hakikisheni mmepima Corona ndani ya saa 72 na mna vyeti

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is becoming a global hub of fintech innovation

    Kenya Is Becoming a Global Hub of FinTech Innovation A Safaricom employee displays the M-Pesa money transfer service on a smartphone inside a mobile phone care centre in Nairobi on November 22, 2018. SIMON MAINA/AFP via Getty Images Summary. For more than half a century, the U.S. was the...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawaambia kila siku, Tanzania drops 11 spots in Africa e-commerce score, meanwhile Kenya remains among the highest-ranked country

    Kung'ang'ania mshindane na Wakenya mtaishia kupasuka misamba, sisi tupo kwenye ligi nyingine.... Dar es Salaam. The latest United Nations Conference on Trade and Development’s Business-to-Consumer (B2C) E-commerce Index 2020 has seen Tanzania’s ranking drop by 11 spots to currently rank at 110...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massive Project to Make Electricity Cheaper in Kenya

    The Suswa High Voltage Direct Current Converter Substation. TWITTER Kenyans are set to enjoy cheaper electricity rates in the coming months following the completion of Ksh50 billion Suswa Substation, the biggest of its kind. The project undertaken by Kenya Electricity Transmission Company...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Nauli na taratibu za kwenda Kenya kutoka Tanzania

    Habari zenu ndugu zangu, nilikua naomba mwenye ufahamu wa taratibu za kufata za mtu kutoka Dar kwenda Nairobi ni mahitaji gani yanahitajika ili niweze fanikisha safari yangu. Nauli ni kiasi gani? Nategemea kusafiri na watoto wangu wawili mapacha kwahiyo sitokuwa mwenyewe. Watoto wana miaka mi...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wana Katiba nzuri na kuna ufisadi mkubwa

    Ni jambo la kushangaza sana taifa la Kenya kuwa na katiba bora Afrika Mashariki lakini Ufisadi ni mkubwa sana. Asilimia kubwa ya budget ya serikali inaishia kwenye mifuko ya viongozi wa majimbo. Tumeona pia kuelekea uchaguzi mkuu mwakani hali ya kisiasa ikizidi kuchafuka na chuki za kisiasa...
  15. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SEE: RUTO's Wheel Barrows Rejected in Nyandarua, TangaTanga MPS almost beaten!

    Ruto’s TangaTanga side had a shock of their lives when residents of Ol Kalou in Nyadarua County chanted the down and denied them a chance to “insult Uhuru Kenyatta”. The crowd told Ruto to come visit them with the president beside him if he wants them to listen. For every word Ruto said, the...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A family's testimony on the benefits of switching to solar in Kenya

  17. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Vyuo vikuu vianze kufundisha Ujasiriamali kama vile vya Kenya vijana wasisubiri ajira ambazo hazipo!

    Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo. Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao...
  18. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Here's Archbishop Harrison Ng'ang'a prophecy to Kikuyus

    HERE'S ARCHBISHOP HARRISON NG'ANG'A PROPHECY "Currently, the best businesses are owned by Kikuyus. The biggest churches, best cars, most successful and educated people, and even the president, are from our land. It rains more in Mt Kenya region than in any other place But, if you don't change...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Tanzania na Kenya kulikoni?

    Habari wakuu, Kwa kweli mafahali wanapopigana nyasi huumia. Ni ukweli usiojificha Tanzania na Kenya Hatuna uhusiano mzuri wa kidiplomasia na unazidi kutetereka. Athari zake tunazipata Sisi wananchi haswa Wakulima wa mpunga na mahindi. Wakuu, tujue kila magunia matatu ya mpunga au mahindi...
  20. JamiiForums Tanzania Uchebe atua AFC Leopard ya Kenya

    Habari zaidi zitafuata
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…