Kiumri wamenizidi ila kielimu nimewazidi karibia wote. nipo katika kiwanda fulani hivi hapa Kanda ya kusini, nimepangiwa kusimamia wafanya usafi lakini kila nikiwakusanya na kuwapa maelekezo wananidharau.
Naomba ushauri je hali kama hii naikabili vip, nimeita adi vikao kadhaa lakini mahudhurio...