HABARI JAMII FORUM.
Poleni na majukumu naomba utupazie sauti sisi Watumishi wa Nzega DC tumeajiriwa tangu mwaka 2024 ila mpaka leo tunazungushwa kupewa barua zetu za uthibitisho tumemuuliza mpaka Mkurugenzi hatupi majibu ya kueleweka walisema mpaka Baraza la Madiwani likae ndio watuthibitishe...
Let's be short and clear...
Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?
Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi?
Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo.
Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta.
Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025.
Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia...
Anonymous (3d7d)
Thread
ded
geita
hawataki
kazi
kazini
mamlaka
mjini
nzega
stahiki
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma walioajiriwa mwaka 2024, mpaka leo bado hawajathibitishwa kazini.
Ukienda Ofisi ya Utumishi kuulizia wanakujibu bado hawajakaa kikao, hivi tunaanza mwaka wa pili sasa hakuna sababu maalumu ya kutothibitishwa.
Ukihoji sana...
HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa.
Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utatuzi wa migogoro ya mashamba ya uwekezaji katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Wa pili kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Prof Riziki Shemdoe na kulia ni Naibu Waziri wa...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI February, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza.
Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani.
Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani.
Alikuwa rapa wa CCM!
Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema serikali inataka wananchi wanapofikisha kero zao katika Ofisi za serikali zipatiwe ufumbuzi...
Wakuu,
Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa ameshachukuliwa hatua na hata umma kufahamishwa hatua zilizochukuliwa.
Tunao TAKUKURU, wanatumika kama...
Mtiririko wa videos za njia ngumu na shuruba wanazokutana nazo madereva
Wewe kama unajifanya ni dereva mahiri hawa sijui watasemaje
https://www.facebook.com/share/r/1AtAULYApA/
Rais Samia hapendwi na mamia ya watanzania, ila sasa kinachofanya watu wasitamani maandamano yawepo wakifikiria suala la maslahi.
Wengine wakienda kazini wana uhakika wa kukunja laki 5 na kuendelea kwa masaa machache tu .
Sasa suala la kukaa ndani au kuandamana linasababisha mtu kukosa hela ya...
Wakuu naomba tutambuane kwa code maalumu leo!
Achana na majina yako na vyeo vyako, em comment maneno unayoongea kila wakati ukiwa kazini kwako ili tukutambue unafanya kazi gani. Nasoma comment chini.