kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu na udhaifu wa mfumo wa Ajira Portal

    Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Wakuu

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona. Naishi Dar es salaam, Ni fresh...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya kazi

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona. Naishi Dar es salaam, Ni fresh...
  4. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Abubakari Asenga, wana Ifakara hatukukutuma kupiga magoti, kuanzia leo tafuta kazi nyingine hutufai

    MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi. Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA barabara ya lami kutoka Kidatu hadi Ifakara. Siamini kama mbunge kama huyu anajua wajibu wake hapo...
  6. JamiiForums Tanzania Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

    Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel. Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni. Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
  7. JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi aapishwa kuwa Rais wa TLS. Aanza kazi rasmi

    Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika. Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu. Uapisho huo umefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Wakili Boniface Mwabukusi alitangazwa kuwa Mshindi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mkandarasi aliepewa kazi ya ujenzi wa BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta, anyang'anywe haraka sana kabla hajatupotezea muda

    Niaje waugwana, Huyu mkandarasi haijulikani alipewa tenda hii ya ujenzi BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta kwa sifa zipi. Toka tarehe ya ujenzi wa barabara hiyo ilipotangazwa kuanza, hadi leo ni miezi sasa, lakini jamaa utafikiri ndio kwanza wana siku 3 tu. Hakuna hatua yoyote ya maana ya...
  9. JamiiForums Tanzania Sio kazi yako kuwa kila kitu kwa kila mtu.

    Hapa sasa inatakiwa kuwa na Mipaka katika maisha yako. Kila shughuli umo tu, Kila mtu akikosa mtu wa Muhimu anakutumia wewe sasa kuziba pengo. Ukiitwa mahali kuna shughuli unaenda yani wewe hata kama ulikua unafanya kitu cha maana unaacha unakimbilia unakoitwa. Mtoto anaumwa baba au mama...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Fitter Mechanics and Welder/Fabricator

    Mwenye uhitaji akuje PM, msharaha 700,000 per month. Ratiba ya kazi ni siku 14 on and 7 days off, after 2 months of probation period. Tayari tumewapata, Mudi naomba mfunge huu uzi tafadhali.
  11. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi: Technical officer

    Job title:Technical Officer, Biomedical Services Type: FULL TIME Industry: Nonprofit, and NGO Category: Healthcare NGO:FHI 360 Deadline:August 09 2024 Work Station: Tanzania , Dar es Salaam JOB DETAILS: The Meeting Targets and Maintaining Epidemic Control (EpiC) is a global...
  12. JamiiForums Tanzania Madai ya kuchelewesha Vyeti, RITA yasema imepokea maombi 143,157, yaliyofanyiwa kazi ni 61.2%

    TAARIFA KWA UMMA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI VYA VIZAZI NA VIFO VYA WANAFUNZI WANAOOMBΑ ΜΙΚΟΡΟ YA ELIMU Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umepokea jumla ya maombi uhakiki 143,157 ambapo kati ya hayo, maombi 87,665 sawa na asilimia 61.2 yameshafanyiwa kazi na majibu kutumwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Connection ya kazi

    Kama kichwa kinavyojieleza mwenye connection ya kazi za kuchomelea tuchekiane jamani, kitaa kinatuadabisha. Naishi Dar es salaam. CV yangu hiyo hapo
  14. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya kuajiriwa au kujitolea. Nina Stashahada ya Uhasibu

    Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

    Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili. Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!! Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya IT Technician na Marketing Staff

  17. JamiiForums Tanzania Unapenda kudate wanawake wenye kazi gani/carrer

    Salaam Leo nimehamasika kidogo na mambo ya kukwichi kwichi 😅😅😅 Katika kumi na nane za kula apple 🍎 kuna majority ya wanaume wana sex fantasy ya kusex na workers ambao ni she, (hii ni worldwide). Binafsi yangu nawapenda polisi yaani askari wakike huwa wananitoa udenda vibaya mno, kuna wanao...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

    Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
  19. JamiiForums Tanzania Kazi ni utu, kazi ni ibada

    Habari wanazuoni, Leo Najaribu kutafakari juu ya; 👉Thamani ya mtu inajulikana kwa kiwango cha juhudi na ufanisi wake katika kazi,Pia tabia ya mtu na utu wake inaoneshwa vizuri zaidi kupitia jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kazi. Mfano hai 1.Swali la kwanza ukweni kijana anaetaka kumposa...
  20. JamiiForums Tanzania Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam. Umri = 31 Elimu = Form four Uraia = Mtanzania Uzoefu = Miaka minne Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…