kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
  2. A

    KERO Elimu bure lakini Shule ya Nyampulukano – Sengerema kuna upigaji mkubwa. TAKUKURU walifanya kazi yao, 'wakapozwa' wakaingia 'mitini'

    Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
  3. Nina ADO naomba kazi ya kuuza pharmacy au NURSE kwa Dispensary

    Heri ya mwaka mpya wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza pharmacy au NURSE anicheki, nina cheti cha ADO na nimesoma Medical Attendant, nina uzoefu mkubwa wa hizo kazi zote zilizomention hapo juu, mawasiliano yangu 0672498183, KITUO CHA KAZI KIWE DAR ES SALAAM, asanteni
  4. Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  5. TEMESA: Kivuko MV Kazi kuanza kutoa huduma leo Januari 13, 2026 baada ya ukarabati kukamilika

    Serikali imetangaza kuwa Kivuko cha MV Kazi kitaanza rasmi kutoa huduma mchana wa leo Januari 13, 2026 baada ya kukamilika kwa ukarabati wake, hatua inayolenga kurejesha usafiri wa uhakika kwa Wananchi wanaotumia feri ya Kigamboni na Kivukoni. Akizungumza jijini Dar es Salaam, jana Januari 12...
  6. Tanzania tunavyombo vya kuzuia WIZI, havifanyi KAZI analaumiwa Dr Samia ambaye hata course ya Umumugambo Hana so stupid.

    Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana , Tuna polisi ofkozi Hawa wapo vituoni kwao hawaingiii hata OFISI yoyote ningumu kujua kama IKULU...
  7. A

    TANGAZO LA KAZI

    Anaitajika mfanyakazi mwenye taalum izi Diploma ya business management Diploma ya business handling Social skills Market idea na usafi KAZI ni ya mini super market pamoja na butcher ivyo awe na idea ya kutunza nyama na samaki pia awe anaweza ku park vizur number ya sim 0763390302 Mwisho wa...
  8. A

    Tangazo la kazi

    Anahitajika mfanyakazi mwenye taaluma zifuatazo: Diploma ya business management Diploma ya business handling Social skills Uelewa wa masoko na usafi Kazi ni ya mini supermarket pamoja na butcher, hivyo mwombaji awe na uelewa wa kutunza nyama na samaki na awe anaweza ku-pack vizuri...
  9. A

    KERO Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) halijanitendea haki, nimeachishwa kazi, familia yangu inateseka

    Mimi naitwa Matson Mathias Ngonyani ni Baba wa Watoto wanne na nina ulemavu wa masikio, kitaaluma ni Afisa Muuguzi niliajiriwa na Wizara ya Afya Mwaka 2019 kisha nikahamishiwa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kwa mpango wa kuazimwa Mwaka 2021. Nilipohamia Dodoma katika Ofisi ya TNMC...
  10. Padri ahoji Je hii ndio Kazi na Utu? Alihesabu miili 13 ya waliouawa MO29 mbele ya Kanisa

    Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
  11. Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  12. Wizi kila kona, watanzania kazi wanayo

    Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali. Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini wamefika chuo wanaambiwa walipe hela chuoni then fomu tu inajazwa bila vipimo. Aloo hili li-nchi...
  13. Wapinzani hawa ambao sera yao kubwa ni kudandia kila jambo linalotokea wakiingia Ikulu naacha kazi

    Nenda mtaani uliza ni chama gani kikubwa cha upinzani Tanzania utajibiwa ni CHADEMA. Uliza tena ni ipi sera yao kubwa kwa sasa, huwezi kupata jibu. Unfortunately hata ukiuliza kwa member na viongozi wa CHADEMA kuwa sera kubwa ya chama chenu ni nini hawana majibu. Wiki iliyopita Trump...
  14. Msaada Hotspot na Wi-fi hazifanyi kazi kwenye simu yangu

    Habari wadau wa Technologia natumai mko poa Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado inaleta shida
  15. A

    KERO Makato ya Mkopo na kutorejeshewa fedha

    Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na kutorejeshewa fedha hadi sasa. Historia ya Masuala ya Elimu na Ajira: Mwaka 2010, nilichaguliwa kujiunga na...
  16. T

    Kazi za kuangalia Nyumba, ulinzi wa Nyumba na pia usafi

    Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda , Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
  17. T

    Mtafuta kazi?

    Wasaalam ndugu zangu wa Jf mhali Gani wakuu, ni Mimi kijana, mtoto wenu natafuta kazi ya kufanya iwe yoyote Ile halali ellimu yangu stardard 7 nipo ujuzi wowote unatakiwa kama kuongea vizuri, na kazi yoyote Ile ya kufanya Mfano usafi, kufyweka kupalilia majani kuangalia mji na ofisi makazini...
  18. Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?

    Wakuu naomba kuuliza Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?
  19. Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

    Mimi huyo Pale nimeshinda mtaani halafu mikono imezoea kuchezea cement, najenga chochote tu 🤣 +255624254690
  20. Naombeni kazi

    Habari za wakati huu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Finance and Investment Planning. Naomba kwa heshima kama kuna fursa yoyote ya kazi hususan kwenye stationery, maduka ya jumla, warehouse, au finance and planning internship. Nipo Dodoma, niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…