Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,667
Jamani! Nahitaji kazi amabayo ipo flexible ya kwenda na kurudi ili ni balance na studies.
Any recommendations let me know
Nipo dar
Any recommendations let me know
Nipo dar
Je katika mkoa upi?ya kwenda na kurudi
Nipo dar kiongoziJe katika mkoa upi?
Je katika mkoa upi?
- Sababu: Yamkini kazi ikawepo Katavi, ile mlegwa yupo Lindi. (Umeona eeh, Ongeza maelezo kwenye post yako)
njoo tupakue malori ya mizigo hapa mabibo sokon
Ntakaribianjoo tupakue malori ya mizigo hapa mabibo sokoni