kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Vidokezo vitatu vya kufanya upendo wako ufanye kazi

    Upendo haupaswi kuumiza yeyote. Ikiwa unachotaka ni upendo unaodumu, unaweza kuupata hakika... There’s nothing wrong with you. And there’s nothing wrong with the one who broke your heart.. Hapa kuna vidokezo vitatu… Moja, upendo wa kudumu ni ujuzi, hauji kwa bahati. Love can be...
  2. JamiiForums Tanzania Zijue kazi 16 za kishenzi ambazo zalipa mapesa Ulaya na Marekani na ambazo kwa waafrika waweza kuziiga na kuzifanya Tanzania.

    Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi. Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
  3. JamiiForums Tanzania MCHENGERWA NA TAMISEMI YAKO FUATILIENI CHATO KUNA UPIGAJI AJABU, HASA KWENYE CHAGUZI NA KAZI NYINGINE MAALUM

    Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali. Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo yao kuanzia siku ya kwanza ya uchaguzi hadi leo hii, na hadi sasa zoezi la ugawaji fomu kwa wagombea...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection ya kazi

    Habar Wana jukwaa, Ni kijana wa miaka 27 nipo Dar essalaam Tegeta A natafuta Kazi ndugu zangu tusaidiane kwa wenye connection jamani, Elimu yangu ni kidato Cha 6 japo nilifika chuo ila sikuhitimu kutokana na changamoto za kiuchumi, naweza kufanya Kazi za stationary yaani printing scanning...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya house maid

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Mimi ni Binti wa miaka 28 natafuta kazi ya house maid,Nina uzouefu wa kazi hii kulea watoto wa rika zote kuanzia wachanga na Nina Upendo sana na watoto,kupika vyakula mbalimbali vya kitanzania,kufanya usafi n.k Napatikana dar es salaam kwa mswali au maelezo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo Vidogo au kampuni za kufanya printing. Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya Wakisaka Kazi za Ugaibuni

    Huu ni mstari mrefu wa watu 8000 vijana wa Kenya waliojitokeza kwenye usaili wa kwenda kufanya kazi nchi ya Qatar
  8. JamiiForums Tanzania Walimu wa primary kazi mnayo aisee

    Wadau niaje, mimi ni mwalimu wa sekondari wa hesabu na physics, sasa hapa katikati nilihamia mikoa ya kusini, ikabidi nianze upya process za kutafuta kazi. Asee kwa kuwa maisha hayasubiri nikasema nisichague kazi , nilitonywa na mwana kuwepo kwa nafasi ya ualimu english medium shule moja...
  9. JamiiForums Tanzania Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

    Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona . Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano . Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe kuvipangilia vitoto vya 2000 ni kazi ni bora nirudi kwa mishangazi

    kwema wakuu. sema kweli hivi vitoto vinavutia sana ila ukianza mchakato wa kuvitongoza unaweza kata tamaa. Heri mishangazi ukiropoka tu mikeka inatiki.. kwaheri vitoto vya afmbili tutaonana tena mtapo kua mishangazi sahizi nimenyosha mikono juu.
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Universal wifi router zinafanya kazi na laini ya mtandao wote Ule

    Hi Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china.. Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount. Tupo Dar, Arusha na Nairobi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea Human Resources chuo kikuu cha Dar-Es-Salaam

    Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri Mawasiliano 0624-137476 E-mail:faidhak6@gmail.com
  14. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Mpina Bashe na Mwigulu Wasimamishwe Kazi kesi zikiendelea mahakamani

    Nimesikiliza hoja za Mpina kuomba Mahakama iwasimamishe kazi Bashe na Mwigulu kupisha kesi zinazoendelea Mahakamani mimi nakubaliana naye kwa sehemu kubwa. Hebu Msikilize hapa Bashe baada ya kupelekwa Mahakamani na Mpina kwenye kashfa ya Sukari. https://youtu.be/LaM87hfLZWg?si=FAd5QAqQCiid8EUv
  15. JamiiForums Tanzania Mtanzania anapochoka na kazi uliyompa

  16. JamiiForums Tanzania Mitambo ya THAAD ishaanza kufanya kazi Israel ,huku Hezbollah wakisema wataanza kushambulia kwa makombola ya kisasa zaidi

    leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,, Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku...
  17. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba mlifanyie hili kazi

    Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Sociology

    Hello wadau, Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi. Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie. Asante
  19. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi, sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100%

    Nipo kibaha,mwanaume 27YRS Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu. Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…