kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi (Secretary)taasisi ya MUSTLEAD

    KATIBU MUHTASI (SECRETARY) NAFASI 3. Taasisi ya MUSTLEAD Inatangaza nafasi ya kazi ya katibu muhtasi(Secretary) SIFA ZA MUOMBAJI: 1. Awe na elimu walau ya kidato cha nne. 2.Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta 3. Awe msichana umri miaka 18 na kuendelea Awe tayari kuishi mazingira ya shule...
  2. JamiiForums Tanzania Responded Hoja ya miundombinu kutokuwa rafiki Ofisi ya PSSSF Iringa, uongozi wasema “Tutafanyia kazi maoni ya Mdau”

    Baada ya Mdau kutoa hoja kuwa Ofisi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) Mkoani Iringa ina changamoto ya miundombinu kwa watu wenye mahitaji maalum kwa kuwa wanashindwa kupanda katika ghorofa ili kupata huduma, PSSSF imesema “Tunashukuru kwa mrejesho kutoka kwa mdau, tumepokea kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani

    Wakuu nina rafiki yangu jana kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani ambaye kazi yake ni kukata majani na kulisha ng'ombe. Jamaa aliambiwa na marafiki zake na yule kijana kuwa mkeo analiwa na huyo kijana wako, jamaa akatengeneza mtego akafika usiku alipofungua mlango alikuta mke yuko...
  4. JamiiForums Tanzania Punguza ulalamishi sehemu za kazi, inapunguza uwezo wako wa kufanya kazi

    Ujumbe wa CPA(T) Emelia Simon Mwakatwila kuhusu utendaji wa kazi kwenye ofisi mbalimbali. Ana hoja?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi kada ya Afya kupitia ajira portal

    Ingawa kuna watu nikiweka ujumbe wa kusaidia kwa wenye changamoto kama kusahau password, kusahau email na changamoto zingine za ajira portal wanitafute niwasaidie wanareport kwamba ni kuatarisha taarifa binafsi wengine kuniita tapeli;sichoki kusaidia. Jitahidi kuomba kazi kama una changamoto...
  7. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Uhifadhi TANAPA aanza kazi kwa maagizo sita ya Waziri Dkt. Kijaji

    Na. Calvin Katera - Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametoa maagizo sita kwa Kamishna wa Uhifadhi TANAPA Massana Mwishawa leo Julai 09, 2026, jijini Arusha alipokuwa akiongoza zoezi la uapisho kwa aliyekuwa Naibu Kamishna wa Uhifadhi baada ya kuteuliwa na Rais wa...
  8. JamiiForums Tanzania OSHA wanatoa cheti gani kwa mtu anayetaka kufanya kazi sehemu hatarishi kama mgodini

    Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje. Natanguliza shukrani
  9. JamiiForums Tanzania Wanaosema kazi au ajira hakuna, tuambieni mnataka kazi zipi?

    Nimeona matangazo mengi ya kuhitaji vijana kwa ajili ya kazi mbalimbali, mfano: kazi za masokoni, za majumbani, minadani, za kibiashara, kutembeza vyombo, nguo n.k, lakini waombaji hawaonekani. Tatizo ni nini? Ebu tuambieni ukweli, mnataka kazi gani?
  10. JamiiForums Tanzania Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  11. JamiiForums Tanzania TOC iachwe ichape kazi; Viongozi wapya hawa hapa!

    Kamati ya Olympick imeapishwa na wakili Gaston George Mwageni Peacock Hotel, Dar es Salaam. rais- 1 Leonard Thadeo Katunzi 2. Nasra Juma Mohammed 3. Khalid Yahya Rushaka, 4 Noorelain GulamHussein Shariff, 5. Suma Stephen Mwaitenda, 6. Amina Mohamed Mfaume 7. Abdulkher Mohamed...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  13. JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na lab technician hospitali ambaye ndio ametoka chuo na bado hajachoka kazi ya kukoroga koroga pupu na susu kila siku

  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya: Serikali ya Tanzania imepoteza mabilioni ya pesa kwa watu kutokufanya kazi Julai 7, 2026

  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Ualimu Shule ya Ellen White

    Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa. Kitu cha tofuati kuhusu shule hii ni kwamba, inakwenda na wakati, mfumo wake wa maombi ya kazi ni kama ule wa ajira portal...
  16. JamiiForums Tanzania Alloyce, P.R.: Nguzo za kimkakati kuhakikisha Idara za Usalama wa Taifa zinafanya kazi ipasavyo

    Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi ya ajabu, usalama wa taifa hautegemei tu idadi ya watumishi au zana za kivita, bali unategemea ufanisi, weledi, na wepesi wa Idara za Kijasusi na Usalama katika kubaini, kuchambua, na kuzuia matishio. Ili kuhakikisha idara hizi (kama vile TISS...
  17. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Bibi: Kazi au Familia Kwanza?

    Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani. Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia. Niligundua kuwa zamani alikuwa amesomea na kufanya kazi ya uuguzi, lakini baadaye akaja kuwa mwalimu...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mpya kupitia ajira portal

    Ukipata challenge tuwasiliane kwa 0623446608 nikusaidie personally.
  19. JamiiForums Tanzania Heche: Kazi ya siasa imegeuzwa kuwa ya hatari, kila ukitoka umekubali watoto wako kuwa yatima

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa neno la rambirambi katika msiba wa aliyekuwa Dereva wake, Suezi Maradufu, leo Julai 5, 2026 amesema "Kazi hii tunayoifanya haipaswi kuwa kazi ya hatari. Ni kazi inayopaswa kuwa ya halali kabisa. Tangu mwaka 1992 tuliridhia kwamba tutakuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…