kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nje ya mji kuna fursa ya biashara, nikiweka dogo akapige kazi nitanufaika?

    Naishi mjini, lakini hapa nilipo kuna kitongoji hakina kabisa library ya kuingiza movie katika flash, dogo yupo mkoani vip nikimwita akapige kazi hiyo nitanufaika? Usafiri wa kwenda na kurudi sababu haiwezi lala kule kukwepa garama za kukodisha chumba. Usafiri upo daladala 2500 ila kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Habarini za asubuhi wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni degree, naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa QGIS, naomba kazi

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY. naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote...
  4. JamiiForums Tanzania Bado Trump yupo nao wachina jino kwa jino safari hii kazi wanayo

    Rais wa marekani Donald Trump bado anaendeleza msimamo wake juu ya nchi ya China katika suala zima la kuiwekea ushuru. Pia Trump amehitaji usaidizi wa haraka wa Federal Reserve kuondoa interest rates. kwa kipindi cha karibuni Trump amekuwa akihishutumu Fed chini ya mwenyekiti Jerome Powell...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi

    Habari Wana JF natumaini muwazima Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

    Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55. Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema. Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
  7. JamiiForums Tanzania Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS

    Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS
  8. JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi afukuzwa kazi Coastal siku moja kabla haijakutana na Yanga

    GSM mungu anakuona Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga. Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You Return to sender Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
  9. JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
  10. JamiiForums Tanzania Ukiangalia usajili namba zingine zilizosajiliwa kwa NIDA taarifa zinazokuja si za kweli, HALOTEL wafanyie kazi jambo hili kabla halijaleta mtafaruku

    Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu, ndipo niliposhtuka kuona kuna namba nyingi ikiwemo ya airtel, ambayo baada ya kujaribu kumpigia...
  11. JamiiForums Tanzania Unatafuta kazi ??

    Tunakusadia kufanya maombi ya kazi Huduma zetu 👉 kukuandalia Cv yenye muonekano wa kitaifa na kimataifa. 👉 Kukujulisha taarfa mbali mbali za nafasi za kazi kulingana na taaluma yako. 👉 Kufanya maombi ya kazi kwa niaba yako sehemu mbalimbali ndani ya mwaka mzima. 👉Kukujulisha...
  12. JamiiForums Tanzania Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo yataniitaji niwe mtu wa kusoma kila siku kitu ambacho nakichukia sana ivyo nikaamua kuipiga chini nikageukia...
  13. JamiiForums Tanzania Ana miaka 47 anaishi kwa Wazazi wake, kazi hana na anataka kuja kwetu kujitambulisha

    Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaelezea. Huyu BABA ana miaka 47, amenipita 12 years, niliwahi kutoka naye kimapenzi nikiwa chuo, Ila nikampiga chini baada ya kuona hana vision na hajui kusudi la yeye kuwepo duniani. Baada ya miaka mingi ya kuto onana, kwa kuwa Mimi niko Dodoma ninakoishi na...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Sales & office admin

    Anahitajika kijana mkazi wa Babati Qualification.. 1. Degree/Diploma in business or any related field 2. Awe mkazi wa Babati 3. Awe na uwezo wakusafiri kupita katika wilaya zilizopo Mkoa wa Manyara..... Mawasiliano piga 0687222251
  15. JamiiForums Tanzania Dada wa kazi, mshahara Laki 1 na 80. DSM

    Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
  16. JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  17. JamiiForums Tanzania Dada Zetu hadi unafika hatua ya kujiuza/ukahaba/umalaya au u barmaid ni kwamba umekoswa kabisa kazi ya kufanya?

    Hi 👋 Siyo jambo jipya wala geni au kwamba hujawahi sikia la hasha. Neno kahaba limetajwa sana kwenye vitabu vya dini bila shaka ukahaba ulianza tangu enzi hizo. Swali langu ni hili hapa duniani kote kuna kazi kibao halali na nzuri kabisa za kufanya bila kificho,hofu wala woga wowote na...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wa kazi waaminifu wanapatikanaje? (nina shida nao)

    Sitaki kuachia kazi inayonipa mitaji ya kufungua biashara hapa mtaani Lakin changamoto inakuja jinsi ya kuwapata vijana wa kukufanyia kazi. Kama kuna mtu humu jukwaani mmewahi pitia hii kadhia ama hitaji naomba experience, kwa sasa nina kijana lakini anatarajia kwenda shule amefaulu kidato cha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  20. B

    JamiiForums Tanzania KAZI YOYOTE YA IT ITANIFAA

    Wakuu, mnaendeleaje humu? Naamini Mungu anaendelea kuwapigania. Kuhusiana na mada tajwa hapo juu, natafuta kazi katika sekta ya IT. Nina ujuzi katika Linux Server Administration, Database Administration, Computer Networking, na misingi ya Usalama wa Mfumo (System Security Basics). Ikiwa kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…