kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Bila Shaka wajumbe wa CCM wamefanya kazi kubwa kwa niaba ya watanzania!

    Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno. Nawashukuru!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Wanzanzibari wacheche wasomi wasio na kazi. Serikali inawapendelea!

    Ukienda kwenye balozi nyingi wamejaa wanzanziibari. Kwa kusingizia dini wamejazwa kwenye nchi zote za Gulf. Wapo balozi zote za Ulaya na Marekani. Wabara wamajaa balozi za Africa na nchi masikini. Hapa siongelei mabalozi bali wafanyakazi wa balozi. Kuna wakurugenzi, wakuu wa wilaya , mikoa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa (mtu kazi) wajumbe wamuamini kwa kura 8,465 (99.19)

    MCHENGERWA (MTU KAZI) WAJUMBE WAMUAMINI KWA KURA 8,465 (99.19) Mgombea wa Jimbo la Rufiji anayetetea jimbo lake, Ndugu Mohamed Mchengerwa ameibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kwa kuzoa asilimia 99.19 ya kura zote zilizopigwa. Matokeo hayo mazuri kwa Mchengerwa yametokana na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya kidato cha sita, naomba kazi

    Habari zenu wakuu,.Mimi ni kijana wa makamo kidogo,born January 1995. Nina elimu ya kidato cha sita, chuo nilifika lakini sikumaliza niliishia mwaka wa pili (udom coed). Mkuu kwa mda sana nimehangaika huku na kule lakini mambo bado magumu hadi sasa nikaamua kujishughulisha na kazi za uvuvi.kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  6. JamiiForums Tanzania Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  7. JamiiForums Tanzania Sisi tusio na Chama kazi yetu ni kuhakikisha jikoni hakukosi kuni 😂.

    Sisi tusio na Chama kazi yetu ni kuhakikisha jikoni hakukosi kuni 😂.
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kazi za Lukuvi Jimboni zambeba Wananchi wa Ismani, wasema "Wanatiki Kwa William Lukuvi ”

    Wananchi wa Jimbo la Ismani mkoani Iringa wameonesha wazi imani yao kwa aliyekuwa mbunge wao kwa miaka kadhaa, William Vangimembe Lukuvi, wakisema kuwa licha ya kuwepo kwa wagombea wengine waliopitishwa katika mchakato wa kura za maoni, bado chaguo lao linaelekea kwa Lukuvi kutokana na kazi...
  9. JamiiForums Tanzania KAZI KAZI KAZI KAZI

    Natafuta mabint wazuri wa kuunza baa. Wawe na sifa ziguatazo; 1. Mchangamfu. 2. Awe mnywaji. 3. Awe tayari kuishi Songea (Ruvuma) 4. Awe tayari Kufanya kazi kwa kujisimamia kwa mkataba maalumu kadri ya makubaliano yatakayofikiwa 5. Awe na barua ya utambulisho. 6. Awe na barua au...
  10. JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  11. JamiiForums Tanzania Ithibati ni nini na itakiwaje kufanya kazi?

    ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI? Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi. Full...
  12. JamiiForums Tanzania Mkemia natafuta kazi nina experience ya miezi 10 kama quality controller

    Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
  14. JamiiForums Tanzania Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
  16. JamiiForums Tanzania Hawa ndio role model ya mabinti wa leo kazi ipo

    Zingatia picha na chanzo cha kipato
  17. JamiiForums Tanzania Utaweza kufanya kazi kwenye sehemu kama hii.

  18. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki utata kazi kwa wageni na wazawa

  19. JamiiForums Tanzania Katika utendaji wako wa kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?

    Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo. Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika...
  20. JamiiForums Tanzania Uwinga wa Kariakoo: Kazi Inayodharauiwa Lakini Inawalipa Zaidi ya Madaktari(elimu ya uwinga)

    1. UTANGULIZI Udalali "Winga" ni Nini?Udalali "Winga" ni aina ya udalali unaofanyika Kariakoo ambapo mtu anapata wateja wa bidhaa mbalimbali bila kuwa na duka au ghala la kuhifadhi mzigo.Dalali wa aina hii hutafuta wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kishakuwaunganisha na wauzaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…