kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Watumishi wa umma Tanzania kazi yetu kubwa ni kusubiri mshahara, posho na madili

    Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini. Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu. Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
  2. Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  3. FROM PAGALE TO STUNNING MANSION THIS IS WHAT WE CAN DO UKITUPA KAZI YAKO 0624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  4. Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  5. Je unajutia muda wako uliopoteza kukesha vibanda umiza kwaajil ya kazi za watu hawa Alka Yagnik na Kumar Sanu? Wakali wa masong makali kutoka india

    Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
  6. Mrejesho wa kazi za TANROADS Pwani-Kibaha

    Jamn kwemaaa!! Kuna yeyote ambae ashapata mrejesho wa hizi KAZI za TANROADS PWANI-?
  7. Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Wakuu habari za siku mingi. Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane. Merry yupo tunasonga na maisha. Nimekuja leo naombani ushauri. Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na...
  8. Morocco ni mwenyeji wa ofisi kubwa za soka ila fainali inafanyika kwao halafu VAR haifanyi kazi

    Mpira wa Africa una figisu sana. Inashangaza sana kuna wenzetu wanaunga mkono figisu inazofanyiwa Simba au wanatoa vimaneno pale Simba inapofanya kila inachoweza kupata ushindi, hawajui kuna siku kwa unyonge wetu na timu zao zinaweza kuja kuwa wahanga na kuwa harakati za Simba zinafungua njia...
  9. Tuendelee kutambua genge la wahaini wanaofanya kazi across EAC!

    Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
  10. Taratibu za kupata kazi canada

    Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
  11. A

    Naombeni ufafanuzi kuhusu posho za nje ya kituo cha kazi

    Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala yote ndani ya nchi(mikoa yote) ambaye ofisi Yake ipo Dar Kwa mfano, anaweza kulipwa posho akiwa...
  12. MAOMBI YA KAZI.

    Habari wakuu, Utangulizi: Awali yayote nipende toa shukrani kwa Mungu na kwa yeyote atakae wiwa na maombi yangu. Mimi ni kijana umri miaka 24, nina degree ya accounting with information technology,graduate of 2024, naishi dar es salaam,,,. Uzoefu: 1. Utafutaji wa masoko na kudeal na wateja...
  13. Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya. Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na mtazamo wa dunia moja katika ulimwengu tuishio,Hapa Nina mtazamo wa kalooism kuhusu namna fulani inayoweza...
  14. Ijue zaidi kazi ya real estate

    MAANA YA REAL ESTATE Real Estate ni kazi au biashara inayohusiana na kununua, kuuza, kupangisha au kuwekeza kwenye ardhi, majengo, nyumba au viwanja. Ni sekta inayokuwa kwa kasi nchini Tanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa makazi na maendeleo ya miji. AINA ZA REAL ESTATE 1. Makazi...
  15. Nahitaji vijana waliomaliza form6 au wanachuo Tufanye nao kazi

    Vijana 6 wakufanya nao kazi SMARTWORK Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo. Malipo ya juu 30,000 kwa siku Maripo ya chini 10000 kwa siku Kama upo tayari niandikie mawasiliano yako hapo chini Mawasiliano yyte kama email Simu Acc ya social media Au yute...
  16. Naomba kujuzwa namna ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya Posta

    Habari, kama heading inavyosema haina haja ya kujaza seva za jamiiforums. procedures zikoje A to Z, gharama, bahasha ni yoyote tu, au wanataratibu zao.
  17. Tujiburudishe kidogo na hizi kazi za ubunifu

    Siasa na michezo wiki hii imechukua muda wetu mwingi.. Na mijadala yetu imekuwa na matokeo butu kwakuwa wenye mamlaka wanatufuatilia kwa jicho kali la tai Hivyo basi hebu tujjburudishe kidogo na hizi kazi kabla hatujarejea kule kwenye stress.. Hapa kuna baadhi yetu wanaweza kufaidika na hizi kazi
  18. Ukweli woe kuhusu kazi za ndani uarabuni huu hapa

    KAZI ZA NDANI UARABUNI – FULL INFO Chanzo: chuosmart.com Inahusu nchi kama: Saudi Arabia, UAE (Dubai), Qatar, Oman, Kuwait, Bahrain 1. Maana ya Kazi za Ndani Uarabuni Ni kazi zinazofanywa majumbani na wanawake au wanaume walioajiriwa kusaidia shughuli kama: Kufua, kupika, kusafisha...
  19. Ijue vizuri kazi ya contents creators

    Content Creator – Mbunifu wa Maudhui Chanzo: chuosmart.com 1. Maana ya Content Creator ni Nani? Content Creator ni mtu anayebuni na kutengeneza maudhui (content) kwa ajili ya matumizi ya kidigitali — kama vile video, picha, maandiko, podcast, blogs, infographics n.k. Maudhui haya huwekwa...
  20. Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…