kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania "Kufukuzwa" kwa Meya Boniface Jacob: Utumishi wa umma umeingiliwa

    Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua . Vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika tushirikiane kufanya kazi

    Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada. Mimi nina kampuni na ina usajili tayari kwa kila hatua zote pamoja TN na lesen kutoka halimashauri. Kampuni hii inajihusisha na vitu vingi sana in general lakini kwa sasa inahusika na shughuli za IT services zote mfano programming na software...
  3. JamiiForums Tanzania Mazingira ya kazi kwa wanaharakati Tanzania ni magumu, HRW

    Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu nchini Tanzania umesema katika mwaka 2019, watetezi wa haki za binadamu nchini humo walifanya kazi za utetezi katika mazingira magumu zaidi. Kulingana na ripoti wa shirika la Human Rights Watch kuhusu hali ya haki za binadamu mwaka uliopita, miongoni...
  4. JamiiForums Tanzania NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa Wilaya ya Mpwapwa (CCM ) fanyeni kazi zenu za Kikamati ya siasa

    Hivi ni kamati hii ya siasa ya wilaya ya Mpwapwa (CCM )au ni ya wakati wa uchaguzi uliopita ndiyo iliyofanya Madudu? Hebu kwa weledi kabisa niambieni! Imekuwaje jimbo la uchaguzi la Mpwapwa lina madiwani hawazidi wanne? Kwa weledi kabisa hebu kamati ya siasa niambieni kwa nini halmashauri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wanaochaguliwa lakini hawana nasaba na siasa huwa ni wachapa kazi

    Hili halina ubishi dunia nzima kama kiongozi ni pure typical politician maamuzi yake mara nyingi huwa ni kwa ajili ya kufurahisha kundi la watu flani kwa manufaa ya kisiasa lakini sio kwa ajili ya manufaa ya umma na huwa sio wachapa kazi. Mfano kiongozi wa namna hiyo yupo radhi atumie pesa za...
  7. JamiiForums Tanzania Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

    itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Automotive Technology Centre (TATC)

    Tanzania Automotive Technology Centre (TATC), synonymously known as “Shirika la Nyumbu”, was formally established on the 14th December 1985, through a Presidential Order, made under the Public Corporations Act 1969. TATC’s mission is to develop a reputable capacity for automotive engineering by...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli...
  10. JamiiForums Tanzania Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nursing Team Supervisor and Medical Doctor at Médecins Sans Frontières (MSF)

    Position: NURSING TEAM SUPERVISOR Médecins Sans Frontières (MSF) Job Summary Plan, organize, and evaluate the activities concerning his/her field of action (Nursery ,….) and the team associated, according to MSF values, policies and protocols and universal health standards, in order to warrant...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda, waandikishaji wasaidizi na BVR Kit Operators - MPANDA, KATAVI

    Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kavuu Bw. Erasto Kiwale anapenda kuwajulisha kuwa , zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Vituoni awamu ya Pili katika Kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe linatarajia kuanza tarehe 02.05.2020, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit...
  13. JamiiForums Tanzania Unaweza kumuoa mwanamke anayefanya kazi bar akatulia?

    Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema? Vipi kuhusu yafuatayo 1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela? 2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia? 3.Ulevi je?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi yeyote jijini Mwanza, Nimehitimu Chuo cha Usafirishaji NIT

    ,
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali inawatafuta wakenya 50 waliotoroka karantini

    Polisi wanawatafuta watu 50 waliotoroka katika kituo cha Kenya Medical Training College, mjini Nairobi kilichokuwa kinatumika kama karantini Inadaiwa kuwa walikuwa wanapata chakula cha jioni, na mvua ilikuwa inanyesha nao wakatumia fursa hiyo kuruka uzio na kukimbia Wengine kati ya hao...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi SOS Children's Villages

    SOS Children’s Villages is the world’s largest non-governmental organisation focused on supporting children without parental care and families at risk. Since 1949, we have been working to ensure that children grow up in a loving family environment and have their rights fulfilled. Services SOS...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wapewa kazi ya kuwashughulikia wanaopandisha bei ya vyakula kwenye mfungo wa ramadhani

    Wakuu wa Mikoa kote nchini wameagizwa kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kuuza sukari kwa shilingi 4500. Waziri Mkuu Mhe.Kasim Majaliwa amesema hakuna sababu ya sukari kupanda bei kwani sukari ipo yakutosha, ilikuwa imepungua imeagizwa na imekwishaletwa. Majaliwa ameyasema hayo leo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wake mlioingia darasani Kuna hizi nafasi za kazi

    Ward-based pharmacist jobs available throughout the UK, with the NHS needing your help. Great pay rates up to £33.00 per hour. As the whole world takes a step back, healthcare professionals are taking a step forward. We hope you can step forward and join us today. Step Forward | Medacs Healthcare
  19. JamiiForums Tanzania Mashine ya Rostam inafanyaje kazi na imethibitishwa vipi?

    Nimeona mara kadhaa ndani ya wiki hii aliyekuwa Mbunge wa Igunga na Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz akitoa kile kinachoitwa mashine za kunyunyizia dawa zenye kuua virusi. Mashine hizi ni "full body spray" kwamba mtu anaingia mashine zinatoa kitu kama manyunyu au mvuke ambao unadawa zenye...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi UNDP

    Agency UNDP Title Stress Counsellor Job ID 30130 Practice Area - Job Family Management - STRESS COUNSELOR Vacancy End Date (Midnight New York, USA) 26/04/2020 Duty Station: Kasulu, Tanzania, United Republic of Education & Work Experience: I-Master's Level Degree - 2 year(s) experience Languages...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…