Msaada Ushauri, Maoni, nini nifanye baada ya kama miaka 10 ya chuo

MercyfromGod

New Member
Nov 1, 2019
1
20
Mimi ni mwenyeji humu niwe mkweli.
Course niliyosoma ni Antholopology and Tourism.

Nilibahatika kuanya kazi kampuni moja ya wachina kama customer services department ya sale and marketing kwa miaka mitano(5), Hii nafasi niliitendea haki nilifanya kwa ustadi mkubwa bonasi za wiki nilipata sana kwa kuwa na parformance nzuri, Baada ya hapo nikaacha kazi sababu kuu yakuacha nikahama mkoa ikiwa ni mambo ya kifamilia.

Kutafuta kazi mpya.
Baada yakuhangaika hapa na pale nikabahatika kupata kampuni nyingine kwa nafasi ya sales and marketing officer, nikafanya hapo kwa muda wa miezi kadhaa napo nikaacha nikapata tena kwingine nikafanya kidogo kama mwaka kampuni ikahamishwa mkoa mwingine.

Nikaanza biashara.
Kwa kutumia uzoefu wangu wa kazi niliopata sehemu tofauti tofauti nikapata idea yakufanya biashara, Ukweli nilifanya vinzuri kama mwaka hivi, Sikuwahi kupata hasara.
Changamoto ya hii biashara kila siku unatafuta mteja mpya hivyo unajikuta wateja wengi ulishawauzia na hawarudii tena kuchukua na inategemea na msimu.

Ombi, toa maoni yako nianze kutafuta kazi tena au nifanye nini kingine, au kama unakampuni nipe nafasi niweze kuisimamia upande wa customer services manager au vyovyote nipo tayari.
Karibuni.
 
Mc cane

JF-Expert Member
May 18, 2018
5,293
2,000
Bad ili biashara mkuu, sio lazima ufanye biashara hiyo inayokusumbua kwenye kutafuta wateja

Tumia uzoefu wako wa sales and marketing kujenga biashara yako

Labda kama Lengo la Uzi wako ni kutafuta ajira, ngoja wenye Kampuni waje
Mimi ni mwenyeji humu niwe mkweli.
Course niliyosoma ni Antholopology and Tourism.

Nilibahatika kuanya kazi kampuni moja ya wachina kama customer services department ya sale and marketing kwa miaka mitano(5), Hii nafasi niliitendea haki nilifanya kwa ustadi mkubwa bonasi za wiki nilipata sana kwa kuwa na parformance nzuri, Baada ya hapo nikaacha kazi sababu kuu yakuacha nikahama mkoa ikiwa ni mambo ya kifamilia.

Kutafuta kazi mpya.
Baada yakuhangaika hapa na pale nikabahatika kupata kampuni nyingine kwa nafasi ya sales and marketing officer, nikafanya hapo kwa muda wa miezi kadhaa napo nikaacha nikapata tena kwingine nikafanya kidogo kama mwaka kampuni ikahamishwa mkoa mwingine.

Nikaanza biashara.
Kwa kutumia uzoefu wangu wa kazi niliopata sehemu tofauti tofauti nikapata idea yakufanya biashara, Ukweli nilifanya vinzuri kama mwaka hivi, Sikuwahi kupata hasara.
Changamoto ya hii biashara kila siku unatafuta mteja mpya hivyo unajikuta wateja wengi ulishawauzia na hawarudii tena kuchukua na inategemea na msimu.

Ombi, toa maoni yako nianze kutafuta kazi tena au nifanye nini kingine, au kama unakampuni nipe nafasi niweze kuisimamia upande wa customer services manager au vyovyote nipo tayari.
Karibuni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom