Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT.
Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua nikifanya kama intern kwa mwaka mmoja sasa kwenye kampuni za engineering na real estates kubwa tu hapa...