Habari wana JF,
Nakuja kwenu kuleta maombi yangu, ninatafuta kazi, nina Bachelor ya Procurement, nina uzoefu wa miaka 5 kwenye sector ya Logistics Management.
Nina uwezo wa kufanya marketing na sales kwa lugha ya Kiingereza kwa ufasaha, niko vizuri kwenye negotiation za bei na mikataba, nna...