kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

    Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki. Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Karagwe: Waziri Aweso amsimamisha kazi Meneja wa RUWASA kwa kushindwa kusimamia miradi

    WAZIRI AWESO AMSIMAMISHA KAZI MENEJA WA RUWASA KARAGWE KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MIRADI Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa kushindwa kusimamia miradi ya Maji inayoendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  4. JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ukimbie kazi/kibarua chako cha zamani?

    Nilipata kazi baada ya msoto wa miezi kama mitatu hivi lakini hiyo kazi ilikuwa ni saa moja asubuhi hadi saa mbili usiku kila siku kasoro Jumapili, na mshahara ulikuwa ni elf 80. Hapo nauli pekee ilikuwa elf 10, msosi elf 30, geto nikiongezea bili ni elf 30, mwenye nyumba mpare hataki maneno...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Nani kasema kazi hakuna?

    "Je nisomee kazi gani itakayonipa ajira kwa haraka?" Limekuwa ni swali ambalo linaleta changamoto sana kwa wanafunzi waliowengi kwani halina majibu ya moja kwa moja. Kutokana na hali ya maisha kubadilika na wasomi kuwa wengi siku hizi, basi ajira zimekuwa ngumu kuzipata. Hali hii imefanya...
  6. JamiiForums Tanzania Mlioomba kazi shirika la Church World Service (CWS) tukutane hapa

    Habari wadau, Mimi ni miongoni mwa waliotupia kwenye nafasi zilizotangazwa za Caseworker n.k Naomba tupeane mbinu.
  7. JamiiForums Tanzania EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya Nguvu za kiume, Six Packs, Hela, Elimu, kazi au Mali, unachagua kipi?

    Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako? Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba...
  9. JamiiForums Tanzania Wachezaji wenye majina makubwa kung'olewa Taifa Stars

    Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Serikali ya Tanzania aliyoitoa Waziri wa Michezo Mh Mchengerwa , akiongea na wanahabari amesema kwamba wachezaji wenye majina makubwa (Hakuwataja majina) hawajitumi kwa ajili ya Nchi yao , hivyo hawapaswi kuwemo kwenye Timu ya Taifa. Bali amesema kwamba tayari...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana kunufaika na fursa za mafunzo ya uzoefu wa kazi na uanagenzi

    VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki; Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
  11. JamiiForums Tanzania Burundi: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu, Waziri wa Usalama kuchukua nafasi yake

    Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  13. JamiiForums Tanzania Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nabi: Mrudishe mzee wa kazi chafu Yanick Bangala acheze number 6, Bigirimana na Aucho watakufelisha mapema

    Wakuu salama, Nimeangalia mechi ya timu yangu pendwa ya wananchi jana nikagundua beki yetu inaonekana mbovu na kujichanganya simply because viungo wakabaji hawafanyi kazi yao vizuri Bigirimana na Aucho ni wazito sana wanashindwa kuendana na kasi za vijana! Nabi mrudishe Bangala number sita...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa. Nina ujuzi wa; Diploma ya record management Diploma ya music production Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza. NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Anaefanya kazi Azam tv sehemu ya ku-reply ajithathimini.

    Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
  17. JamiiForums Tanzania Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi. Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie...
  19. JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO kufanya matengenezo ya Mfumo wa LUKU, huduma haitopatikana kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi Sept. 12-15

    Shirika la Umeme Tanzania limetangaza kufanya matengenezo hayo kwenye Kanzi Data ya Mfumo wa manunuzi ya Umeme (LUKU) ili kuongeza ufanisi. Matengenezo hayo yatachukua siku 4 kuanzia Jumatatu Septemba 12 hadi 15, 2022 na wateja wataweza kununua Umeme muda wote isipokuwa kuanzia saa 4 usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…