kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa waliwahi kuomba kazi Ubalozi wa Marekani

    Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote. Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani...
  2. JamiiForums Tanzania UTAFITI: 95% Ya wanaofanyia kazi nje ya ofisi wana "stream" movies na muziki muda wa kazi

    50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni. Kwa mujibu wa utafiti mpya...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa ni Mtu kazi au bahati tu?

    Na Charles William Innocent Bashungwa amekua waziri katika wizara nyingi sana ndani ya muda mfupi, kutoka 2018 - 2022 amekua waziri katika wizara 6 tofauti. 2018 Rais Magufuli alianza kwa kumteua kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, mwaka 2019 akamteua kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, kisha 2020...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

    1. Uhasibu 2. Bank 3. Urubani 4. Udaktari 5. Uaskari 6. Mfanyabiashara
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection na kazi za viwandani msaada nina cheti tu cha form four nisaidie ndugu zangu

    Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
  6. JamiiForums Tanzania Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

    Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja. Je, Polisi watachukua hatua yoyote? Pia soma: - Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa - Kada...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu

    habari wakuu ni matumaini yangu ni wazima kwa majina naitwa KELVIN GODFREY jinsia ni mwanaume wa miaka 25, ni nimhitimu kozi ya kilimo na mifugo (diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba wezekunipa ata kama ndo...
  8. JamiiForums Tanzania Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Dada anatafuta kazi ya mgahawani au dukani

    Wakuu poleni na majukumu. Tafadhali sio mimi mpangaji mwenzangu. Alikuwa anafanya kazi kariakoo kwenye duka la nguo ila kwa sasa biashara haiendi vizuri bosi imebidi asimamishe biashara huyu dada sasa yupo nyumbani hali ni ngumu. Tafadhali kama una nafasi iwe kwenye mgahawa au dakani msaidie...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha tz blogs za matangazo ya kazi kuwa nyingi?

    Rejea kichwa cha habari Kama ww unafuatilia mambo ya blog utatambua kuna kuibukia au mfumuko mkubwa wa blogging Tanzani!! Lakini zote au asilimia 90 ni za matangazo ya kazi!! Swali la kujiuliza Je sababu ni nini wa kuwa na mfanano wa blog?? -Kwamba za matangazo ya kazi ni rahisi uandishi ( copy...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nimesoma Sheria

    Habari, Mimi ni binti mwenye miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu course ya sheria nina uhitaji wa kazi yoyote hali ya kuniingizia kipato hata iliyo nje ya field yangu.
  12. JamiiForums Tanzania ๐™†๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™œ๐™ค๐™ฃ๐™ค ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ฅ๐™–๐™จ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™– ๐™๐™–๐™ก๐™–๐™ก๐™ž

    Matukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni. Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake? Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa. Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana kama huna kazi, fanya hivi utapata haraka

    Simama pale posta,kariakoo na maeneo yenye foleni kubwa ya magari na bango lako nakuhakikishia hii style itakupa kazi fasta kuliko kulala ndani na kusubiri ugali wa shikamoo,kuna kipindi ikifika kwenye maisha hakuna kuogopa Chochote zaidi ya kujitoa tu
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. โ€œWakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya kazi kwa miaka saba, Trevor Noah ameachana na The Daily Show

    Mchekeshaji Trevor Noah kutoka SA ameachana na kazi ya kuhost kipindi cha habari na vichekesho cha The Daily Show.
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwatambui wanaofanya kazi za ndani Saudi Arabia

    Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir Mwadini, amesema hakuna utaratibu unaowatambua Watanzania waliokwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia. Balozi Mwadini alisema hayo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanywa kwa njia ya video moja kwa moja kutoka Riyadh, Saudi...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

    Bwana Yesu Asifiwe! Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!! Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu. Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
  18. JamiiForums Tanzania ๐—ž๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ? ๐—จ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฟ๐—ถ ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ?

    Habarini Naomba tushee mauzoefu apa kwenye huu uzi. Naamini katika hatua za mwanzo katika umri fulani kila mdau alianza kutafuta pesa. Wengine wameanza mapema sana, wengine wamesoma wakachelewa kuanza kutafuta pesa, wengine watoto wa mashavuni wanakula maisha tuu...nk. Nikiwa mdg miaka 13...
  19. JamiiForums Tanzania Dada tukuombee upate mume, tako au kazi? Hebu funguka

    Haya wadada njooni hapa mpate kufunguka:D:D maana malaika wa Mungu anapitia huu uzi. NB: Siku hizi mjini mwenye tako anajiamini kuliko mwenye degree.
  20. JamiiForums Tanzania Bashungwa asimamisha kazi vigogo watano Mbulu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maofisa watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara kwa kusababishia hasara na matumizi mabaya ya madaraka. Waliosimamishwa kazi ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ