kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Customer Care wote wa CRDB, NMB, Voda & Tigo - jiandaeni kufukuzwa kazi

    Ni swala la muda muda tu , watu wengi wataachishwa kazi kwenye makampuni makubwa, kutokana na kukua kwa teknolojia. Kuna robot anaye-trend huku mtandaoni , anaitwa ChatGPT. Huyu robot anauwezo wa kukujibu swali lolote kwa sekunde 1. Tukija kwenye swala la customer care wetu, mko wengi sana na...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

    Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa. Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM. Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
  3. JamiiForums Tanzania Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    This is Tanzania. Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha. Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅 Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha. Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu au mtu wa kufanya naye kazi ya ufundi wa magari

    Habari wakuu? Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu ishafungwa kutokana na fundi mkuu kushindwa kulipa Kodi kwahio naomba Kama kuna fundi mechanics anahitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Bravo Group Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike Wala za Kiume. Wanawake Wasichague Kazi, Wanawake Madereva Wazuri Kuliko Wanaume!, Wapongezwa!.

    Kampuni ya Usafirishaji Makontena, ya Bravo Group Limited Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike na Kiume. Madereva Wanawake wa Malori Wapongezwa na Wanawake Wahimizwa Wasichague Kazi Umetolewa mwito kwa wanawake kote nchini, wasichague kazi, na badala yake wachangamkie kazi zozote wenye uwezo nazo...
  6. JamiiForums Tanzania Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  7. JamiiForums Tanzania Hatumfundishi kazi Rais bali tunamshauri kuhusu vitengo hivi viende wizara husika

    Umofia kwenu wana Great Thinkers. Nilianzisha uzi huu uitwao Rais Samia hii wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo. ambapo pamoja na mambo mengine nimeona kutenganisha uzi huo na huu ninaouweka hapa hasa kuishauri serikali kwenye masuala ya kimuundo...
  8. JamiiForums Tanzania Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

    Nimekutana na watu wengi sana wakiwa na hizi bangili sio wazee tu Hadi vijana. Je huo ni ulozi? Au kujikinga na mabaya? Wanaovaa wengi ni wafanyabiashara.
  9. JamiiForums Tanzania Nina shahada ya kemia, natafuta kazi yoyote ya taaluma yangu au ya kutumia nguvu

    Habari wakuu, mimi ni kijana wa kiume (26), mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma, Shahada ya kwanza ya sayansi katika kemia (mkemia), ninaomba kazi Yoyote ile iwe ya taaluma yangu au ya kutumia nguvu ilimradi nitengeneze kipato mdogo cha kuendesha maisha yangu. Nipo Ubungo Dar es Salam...
  10. B

    JamiiForums Tanzania RC Mongella azitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano wa kijinsia mahala pa kazi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amezitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa wa jinsia kati ya wanaume na wanawake ili kuwepo kwa usawa mahala pa kazi. Ameyasema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa Benki ya CRDB walipokutana katika chakula...
  11. JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais aliwaasa viongozi waandamizi kufanya KAZI Kwa kujiamini, DC Sumbawanga kafanya Kwa kujiamini akatumbuliwa. Bado kuna tatizo sehemu

    DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake. Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

    Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu. Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi. Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
  15. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Rais Salva Kiir amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje

    Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais. Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya Kazi

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kwa siku angalau 5,000. Naishi Dar es salaam, Najua kutumia Kompyuta vizuri sana, Elimu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wanufaika Migogoro na vurugu kati ya Serikali na CHADEMA Tafuteni kazi nyingine. Rais Samia ameliheshimisha Taifa

    Namna watu walivyokuwa wakinufaika kutokana na migogoro kati ya serikali na Chama kikuu cha Upinzani. ➡️Kupata per diem ili kuendesha operesheni haramu dhidi ya watanzania wenzao ➡️Kwa kupachika watu kesi haramu za uongo kutokana na ugomvi binafsi ili wakiulizwa waseme huyu ni mpinzani wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

    Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana! Sisis bodaboda tunakwambia Lema tuombe radhi, tutaichukia CHADEMA mazima usipotuomba radhi.
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Janeth Mahawanga awahamasisha wanawake kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kuchangamkia fursa

    MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga kuwahamasisha Wanawake wenzangu kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kuchangamkia fursa katika kilele...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitajii mtu wa kunishika mkono niweze kupata kazi

    Habarii wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 28, ni mhitimu wa stashahada ya Uhandisi Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil Engineering) mwaka 2020 na kufanikiwa kupata upper second class kutoka chuo Cha ufundi Arusha (ATC). Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbalii ila bado sijafanikiwa kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…